I don't believe in coincidence, this is deliberately move by NEC. Mark my words April MOSI magazeti yote ya Magamba UHURU, JAMBO LEO, MZALENDO yatakuja na heanding kama
Joshua Nassari ajitoe uchaguzi Arumeru
Uchaguzi wa Ubunge Arumeru waahilishwa
Joshua Nassari ahamia CCM
NEC imefuta jina la Joshua Nassari (CDM) katika orodha ya wagombeaji ubunge wa Arumeru
Halafu heading kama hizo zitapewa umuhimu na TBC1, TBC radio, radio Lowossa ya Arusha, Clouds FM. Wananchi wa Arumeru wakija shituka kwamba ni April MOSIsiku ya WAJINGA duninia VITUO vya kupigia kura vitakuwa aidha vimefungwa au vifaa vya kupigia kura vimekwisha. Kumbuka CCM ambavyo huwa wanahimizana kuwahi kupiga kura USIKU wa kuamukia kupigaji kura!