GE2025 Mgombea binafsi ni muhimu sana

GE2025 Mgombea binafsi ni muhimu sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Unitman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
665
Reaction score
956
Ifike hatua wananchi tusimame imara tukombea taifa kutoka mikononi mwa fisi mla watu.

Hata wana CCM tuungane kwenye nrne kwa sababu kama inadaiwa wagombea wanatumia rushwa je, inawezekanaje aende bungeni akutetee?? Anaenda kurudisha mtaji aliowekeza kwanza hawezi kukubali hasara kwenye uwekezaji.

Hili ni janga ambalo CCM wamelizalisha siasa biashara tusipokomaa twafaaaaaa. Katiba ya Mzee warioba ni sasa watu mill 65 tusiburuzwe na watu wachache.
 
Back
Top Bottom