Mgogoro waitikisa CHADEMA!

Hakuna Halmashauri iliyofanikiwa chini ya hawa jamaa.Ni njaa tu ndo zitawaua
 
Mkuu kajipange upya, mimi niko huku karatu hakuna kitu cha aina hiyo, mgogoro uliopo ni wa viongozi na wala si wakutafuna pesa, kwani wao ndo Mkurugenzi wa halimashauri? kmauulize mkurugenzi yeye ndo mwenye pesa,
huo mgogoro wa viongozi haujasababishwa na ccm lakini?
 
Mkuu mi nipo karatu na jambo hilo ni la kweli ila cicilia paresso, hahusiki but wengine wote mafisadi hasa bodi maji na kushambuliwa kwa maeneo ya wazi yote mpaka uwanja wa mpira
 
Hapo kwenye Red, naona unatafuta kuingiza siku mkuu, hivi kwa akili yako Mbunge anawezaje kula pesa? yeye ni mhasibu?

Wanatengeneza njia ya kupata za kwenda kula Christmas, si unajua malipo kulingana na idadi ya mabandiko yanayotaja na kuishambulia CDM na viongozi wake
 

Hujui unachikishadadia, kama huamini nenda Karatu ukaone na usimuliwe siyo unakomaa kwe magorofa hapa town alafu unashadadia mambo yanayotokea huko.

Mradi huo umekuwa ukuhujumiwa tangu 2010 wakati wa uchaguzi na si wanachadema kama unavyopiga kelele...

Hao viongozi wa CDM Karatu na Mbunge wao wamehojiwa ili kuangalia namna gani ya kudeal na wanaohujumu mradi wa maji..

Haiingii akilini, maji yamesambazwa na CDMtangu 1999 hadi 2000 then leo 2013 watokee CDM waanze kuhujumu... Hivi hawa CCM na vibaraka wao hata kutest tutology ya baadhi ya statement za magazeti yanawashinda???

Au ndiyo zile propaganda kazini ambayo imetufikisha hapa, Mara Dr Slaa mwanaCCM ana hadi Kadi so what?? kwani Mwakyembe ana Kadi ya CDM. Sisi tunampima mtu kwa utendaji kazi, Uadilifu, Uwezo wa Akili hasa pale anapodefend interest za Nchi na Stregth yake katika kudeal na Mafisadi basi
 

Ndo matatizo ya kuvaa viatu visivyo size yako ona sasa vinakubana.Umetumwa kachukue posho yako Lumumba kwa Nchemba.
 

Mods uko wapi? unaruhusu uongo hadharani humu jamvin....huyu ritz mwongo sana...soma vizuri mwananchi kama limataja watuhumiwa...
 
Leteni mabilion yetu ya uswis, epa, meremeta. Tangold n.k kwanza ndo tuongee ishu ya hizi thumni.
 
Hili ndilo tatizo la kuwa na akili ya kuungaunga. Huwezi kutoa hoja bila kuomba desa kwa mkimbizi chama?
Haya sasa Chama kuja kipande hii umuokoe huyu zuzu mnayemtuma hapa lakini hana uwezo wa kuwawakilisha!

Mkuu Mwita Maranya hujakatazwa kumwita Molemo akupe desa; mimi sijawa mkimbizi ni mchapa kazi asilia kama vile ulivyoondoka Mugumu Serengeti na kulikita Dar na mimi niliamua kuondoka Dar na kulikita DC yote maisha tu mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi hawajuhi,mradi wa maji wa kaviwasu ni mradi wenye bodi huru inayojitegemea na ndiyo nguzo kubwa ya chadema pale karatu tangu enzi za mzee padri akiwa mbunge,pale fedha zina
iwa utafikiri hakuna mwenyewe kuna mtu anaitwa ticha ndiye meneja,si mbowe wala padri wanafahamu kwa kina ubadhiligu huo unaofanyika katika kaviwasu lakini wanashindwa kupiga kelele kutokana na kunufaika na ufisadi huo
 
Mkuu Ritz
Hivi tutasalimika na hawa viongozi wa Chadema? Waporaji wake za watu; majambazi; mafisadi waongo wote wamo humo kweli kazi ipo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Thread kama hizi wale walio ziacha akili zao kwenye masaburi ya mafisadi huwakosi wataikomalia kweli kweli...
 
Mkuu Ritz
Hivi tutasalimika na hawa viongozi wa Chadema? Waporaji wake za watu; majambazi; mafisadi waongo wote wamo humo kweli kazi ipo.

Chama
Gongo la mboto DSM
N aukifanya mchezo wata mpora mpaka mama yako....
 
Mkuu Ritz
Hivi tutasalimika na hawa viongozi wa Chadema? Waporaji wake za watu; majambazi; mafisadi waongo wote wamo humo kweli kazi ipo.

Chama
Gongo la mboto DSM

Hahahaha... Mkuu chama naona umeamua kumpigia Ritz baada ya kuku-''beep'' kwa muda mrefu.
Mtahangaika sana lakini mtaishia kuisoma namba japo kimya kimya!
 
Last edited by a moderator:

Kumbe kamanda Molemo ndiye kiboko yenu? Ndo maana mnapasiana umbea kila siku na mwandani wako ritz!
 
Last edited by a moderator:

Yeah right....JK amefariki dunia!!
 
Mkuu CCM wakifanya ufisadi tuseme lakini Chadema wakifanya ufisadi tunyamaze...aisee!!

Kama we ni mzalendo huwezi kunyamazia ufisadi wowote, sasa kwa hili kama ni kweli, walio fanya ufisadi ni wale walio tajwa na si chadema, chadema itakuwa imefanya ufisadi kama ikibainika wanachama wake wamehusika na isichukue atua kama walivyo mafisadi CCM.
 
napata shida sana na uelewa wako,ndio dcm waongoza halmashauri lakini mwenye fedha ktk halmashauri ni mkurugenzi sio madiwani,tatizo mradi umekwama sio kwamba fedha zimeliwa,nacdm wameonyesha wao ni chama makini ndio maana wameunda tume kuchunguza na tayari chama kimechukuwa hatua stahiki,je ccm ktk halmashauri wanazoziongoza miradi ikikwama nao wanafanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…