Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

Kila mtu na roho yake, Niko maskini lakini mali na pesa hazinipelekagi mputa mputa sijui nina kaujinga, naona km mke kakosea sababu walikubaliana kiroho safi kubadilika mwishoni maana yake Ni utapeli uhuni na wizi kwa mume wake,, narudia Tena mume wake wa ndoa😲 aisee poleni wanaume baadhi mko gerezani
Umeona eeh!
 
Uvulana? Huu ni ulimbukeni! Yaani ww mke wangu afu unifinyie pua eti huu ni mshahara wangu ni huna mamlaka nao...seriously! Utajikuta upo kwenu bila kuelewa umefikafikaje!? Mke kusanya chochote ukusanyacho weka mezani nitoe 'approval' ya matumizi yake! Ofcourse kwa jinsi navyokupenda, maamuzi yangu hayatakuwa kandamizi wala dharirishi! Vinginevyo ishi peke yako ujiamlie mwenyewe maisha yako!
Ndio nyie mnaoa kwa target sijakataa mke na mume kupanga matumizi ila suala la kuchukua mkopo et tuwajengee wazazi wako siwezi fanya huo upuuzi,
 
Ila na nyie jamani..si mngejenga yenu kwanza ndo mjengee wazazi..as long as hawalali nje.
 
Saana....

Mi labda mwanaume uwe mshenzi ndo nami nakuzingua, lkn unafata majukumu yako fresh aaaah utafurahi
Ndo inatakiwa hivyo Sasa unakuta mkaka wa watu hajakupiga tukio hata mara moja lakini mke anakuwa mchoyo mchoyo na mroho km hivi Ni aibu Sana Yani

Kwa stori hii mke kazingua Kama Kweli walikubaliana tangu mwanzoni
 
Saana....

Mi labda mwanaume uwe mshenzi ndo nami nakuzingua, lkn unafata majukumu yako fresh aaaah utafurahi
Huyu ni mke wangu kabisaaaaa. Yan ukiwa humzingui unafurahia maisha, ila ukimvuruga asee anakua sio kabisa halafu hajali. Nishamuelewa nakula mema ya nchi.

Nikijua nimezingua, najua suluhu haiwezi toka kwake lazima mimi nipambane niweke mambo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wako hivo mkuu
Dah awali nilijua hanipendi nini, lakin mbona kama zijamzingua tunafurahia maisha to the maximum.

Nikamulewa, yeye ukimzingua hata kama utaamua usimtafute kabisa na yeye hakutafuti utajua wewe na hajutii anacheza na mwanae.

Tangu nlivyomsoma, nikizingua nampa gepu afu nakua fala zaidi ya mafala wote duniani, kesi inaisha na anasahau kabisa. Yani shida yake usimzingue tu, ukitoa hilo the best wife ever! Lakini ni marufuku kutaka usaidiwe majukumu na mkeo japo hakakatazwi kama ana utashi mwenyewe.
Wapo wanaotoa wenyew we have to count it ndipo tunapikosea. Mana ukihesabu ikiwa tofauti ndio unakuja kulalaamika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mxiuuuu,ndio nyie mnaoa kwa target sijakataa mke na mume kupanga matumizi ila suala la kuchukua mkopo et tuwajengee wazazi wako siwezi fanya huo upuuzi,
Mwanaume haoi kwa 'target' ya uchumi...huyo ni mvulana anayetaka kuletewa na kulelewa! Mwanaume anaoa kwa kumpenda mwanamke! Na mke wa kweli atamsikiliza kwanza mumewe kabla ya kufanya maamuzi yoyote hata kama anayo mamlaka nayo! Hii ni ishara ya utii kwa mumewe! Mumewe akikataa mwanamke anazo njia nyingi sana za kumshawishi mumewe akakubali kuyafanya anayotamani yafanyike bila mikwaruzano wala valangati!

Mwanaume anafanya kwa furaha na amani kabisa! Lakini mikauzu ya kike inayojiingiza kwenye ndoa inaingia ki 'alishabab' kisharishari tu ikiwa imesheheni ubinafsi, uchoyo, ujeuri, ubabe, na ukatili! Hii minunda ndio hii inayoleta mashindano ktk ndoa! Kama hauko tayari ku'submit' 'kilichochako' kwa mumeo basi haupo tayari kuingia kwenye ndoa! Ww ishi kibachela ukizidiwa tafuta mvulana akusugue asepe zake... maana hakika hili ndio fungu lako! Usilete vurugu edeni🙏!
 
Inahitaji akili kuishi na mwanamke,

Huyo jamaa atamkosa huyo mke soon, maana kumkichwa hamnamo.
 
Vitu vitatu ni chanzo cha uvunjifu wa ndoa:
1. Kukosa uaminifu kwenye unyumba
2. Kukosa uzao/watoto
3. Ubinafsi ktk Mali
Shukrani kwa kunijuza nitajitahidi hapo kwenye 1 nisiyumbe huko kwingineko sipo
 
Upo vizuri sana! Sahihisha hapo ulipo kwenye moja na Mungu akuwezeshe, amen🙏!
Kwenye moja naweza kuingia akinivuruga napo awe kanivuruga kweli maana naelewa madhara yake, vinginevyo sina fujo kabisa lipokuja suala la mume
 
Back
Top Bottom