toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Katika mambo ya hovyo yanayofanywa na Kenya dhidi ya Watanzania havikubaliki
Watu wananyanyaswa na kubaguliwa sana wakiitwa "corona"
Matunda yanaozea njiani bado huduma za msingi zinazuiliwa watu wanakula hasara tu "perishable goods" zinawaharibikia watu halafu upande wa Kenya inaonekana wana matatizo sana na inawanyanyasa watanzania na kuwabagua.
Hili halikubaliki hata kidogo; kuna haja ya serikali kuchukua hatua kali dhidi ya kenya maana hii ni too much.