Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Ajenge mahusiano naye kivipi wakati tangu anakua mpaka sasa hakumtafuta wala kumjari.Endelea kumuheshimu na uishi nae kwa tahadhari. Nenda kwa baba yako halisi ukajenge mahusiano nae, bado hujachelewa!
Yeye aonyeshe upendo kwa huyo baba yake wa kambo maana ndiye aliyemfanya mpaka akakua.