Kama imani ya watanzania ilivopomorka kwa padre slaa na chama cha chadema kwa kuwa ni cha kidini. juzi juzi muasisi wenu Mtei alipiga kelele sana kuona wazanzibar wameongeza idadi ya waislamu kwenye kukusanya maoni ya katiba, inashangaza sana nyani haoni kundule
JK === Julius Kambarage . na kwa taarifa yako alieweka ilani ya CCM sio Jakaya Mrisho Kikwete (JMK) yeye aliikuta wamewaahidi na LAZIMA waitekeleze kama chama kilichopo madarani.
Tuwekee hapa hiyo ilani, je ilani ya chama siku hizi ni msaafu au biblia kiasi kwamba kama nyerere aliiweka Mwinyi na kikwete wameshindwa kuubadilisha...
NA BOB MAKANI , katibu mkuu wa kwanza wa CDM alikuwa nani??? padre???
Hao bado wamelala usingizi , siku wakiamka utajuta kwanini upo karibu nao! kwa sababu watajua haki zao na watazidai kama unaowaona hapa JF
JK umepatia mkuu, JULIUS Kambarage Nyerere, ndio alianzisha udini TAnzania, bila aibu, alikaribishwa na waislmu Daresalama, alipopata urais, akasikiliza kanisa na kutekeleza yale ya kanisa, AKAUA UMOJA WA WAISLAMU EAST AFRICA kwa kumtumia Mkapa , baadae akamtunuku Mkapa urais mtoto muadilifu kwa kazi nzuri aloifanya ambayo mpaka leo waislmu wamekuwa wakidharauliwa na kuonewa! JKNyerere
Huo UDINI unaonekana wazi siku hizi, maana gazeti hili limedondokea mikononi mwa CHADEMA!
tuzibe wa nini? wambie waache dhuluma kwa waislam vinginevyo watajibu kwa gharama kubwa. Udini ulikuwapo tangu ulipohasisiwa na Julius Kambarage Nyerere kwa kuwanyima haki waislam waliomkaribisha kuongoza harakati za uhuru., baada ya uhuru akawatupa pembeni na kuwanyima fursa. Waislam wa enzi hizi sasa wanajua kila kitu kilichofanyika huko nyuma, sasa hawako tayari tena kuona dhuluma inaendelea (Allah amewakataza waislam wasidhulum wala wasikubali kudhulumiwa. Sasa hatukubali tena, iwapo kuna mtu anaitakia mema nchi hii, awaambie wakristu waache dhuluma za kitoto (zilizowazi kabisa)
Jahannamu!Hivi tunaelekea wapi mda huu?au itakuja kama mambo ya sudan? Maana tuendako siyo pazuri,kwa hali hii nchi itagawanyika mara mbili waislam na wakristu tatizo litakuja je wapagani watakuwa upande gani?
Ulevi wa bangi, noomaaa.Kweli uislam ni janga kubwa mlianzia kwenye mihadhara sasa shida ndio hii natamani kuhama TZ isije ikawa kama nigeria ya boko haram,namwomba sana rais wetu akemee hili kwa ukali sana kama alivyofanya Nyerere ndio maana hizi chokochoko hazikuwepo la sivyo nakosa imani na KIKWETE.
tuzibe wa nini? wambie waache dhuluma kwa waislam vinginevyo watajibu kwa gharama kubwa. Udini ulikuwapo tangu ulipohasisiwa na Julius Kambarage Nyerere kwa kuwanyima haki waislam waliomkaribisha kuongoza harakati za uhuru., baada ya uhuru akawatupa pembeni na kuwanyima fursa. Waislam wa enzi hizi sasa wanajua kila kitu kilichofanyika huko nyuma, sasa hawako tayari tena kuona dhuluma inaendelea (Allah amewakataza waislam wasidhulum wala wasikubali kudhulumiwa. Sasa hatukubali tena, iwapo kuna mtu anaitakia mema nchi hii, awaambie wakristu waache dhuluma za kitoto (zilizowazi kabisa)
Rai yangu JF inaweza kabisa kuepuka hii chuki ya kidini inayoendelea, na kama itazidi kuruhusu hivi basi chuki na sumu ya udini itasambazwa na mwisho wake kuchapana makonde, viboko mpaka risasi, ni wajibu wa MODS wa JF wakiona uzi wowote uliokaa kidini waublock mara moja,
NAdhani dhamira ya JF ni nyingine ila kuna baadahi ya watu hupenda kubeza imani za dini za wenzao hasa wenzetu wakristo, kitu kidogo basi wanarukia kejeli na matusi mpaka ya nguoni ambayo mtu unashindwa kuvumilia unaanza kujibu na kujikuta umo ndani ya majibizano!
Hili halifai na halikubaliki! kitu cha udini kikijalidiliwa nje na kiachwe ! nadhani hili la kujadili humu linazidi kuchochea chuki na mwisho tunaelekea kubaya zaidi...
Nawakilisha!