Kilamuluzi
Senior Member
- May 20, 2014
- 116
- 20
Hapo najiuliza nchi yao ya ahadi ni hipi maana wale jamaa inaonekana kabisa kwamba MUNGU aliwapa adhabu ndiyo maana wanahishi mazingira ya kutanga tangawaisrael hawana hamu na gaza,si waliitema.gaza kabla ya mwaka 1967 ilikua chini ya egypt.baada ya vita wakaiteka,vita vilipoisha yakawepo mazungumzo wakataka kuirudisha kwa egypt.EGYPT wakaikataa.
Ikabidi iwe chini ya utawala wao lakini mwaka 2000 waliitema katika walichokiita,unilateral disengagement,na hiyo ilitokana na mashambulizi ya hamasi kupeleka kuwa gharama kutawala eneo hilo kwamaana ya cost and blood.wakaondoa vikosi vyao na kuviweka nje ya gaza.
Israel inaendeleza ujenzi katika maeneo ya wapalestina kule east jerusalem katika jitihada ya kuongeza population yao katika mji huo ili baadae wawe majority na hivyo kujustify kuwa mji wao.
Na pia baadhi ya maeneo ya westbank.