Mgogoro wa Israel na Palestina kumalizwa na Papa Fransis, Amani kurejea sasa

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
5,913
1,209
Papa Frances amewaita waende Vatican City mahasimu wa siku nyingi na wakuu wa nchi mbili Mahmud Abbas wa mamlaka ya Palestina na Shimon Perez wa Israel kwa ajiri ya amani na kusameana.

"jambo la msingi ni kuzungumza,kusameheana na kusahau" alisema baba mtakatifu Frances.

Jambo la msingi sana hili kwa amani ya mashariki ya kati vita iliyodumu kwa miongo kadhaa.

Swali; je atafanikiwa?

Chanzo: voa

cc.pasco.mtambuzi.faidhafox.nguruv3.rtze

===============================

Ni nadra sana Rais wa Palestina na Rais wa Israel kupeana hagi namna hii. Hapa wame kiss mbele ya Papa. Tumechoka kuona umwagaji damu kati ya Waparestina na Wayahudi. Ni bora sasa Waparestina nao wawe na taifa lao huru.

View attachment 164067
 
Mgogoro wa Israel na Palestina hauwezi kwisha mkuu hilo sahau!
Tunapenda wamalize lakini kwa tunaoifahamu Israel haiko tayari kugawa sehemu ya mji mtakatifu wa Yerusalem ambao wafilisti nao wanautaka.
Yizak Rabin aliyewahi kuwa PM wa Israel alifikia majadiliano yanayotaka kufikiwa leo kwa papa, Waisrael wakaamua kumwua kwa kuisaliti agano
 
papa frances amewaita waende vatican city mahasimu wa siku nyingi na wakuu wa nchi mbili mahmud abbas wa mamlaka ya palestina na shimon perez wa islaer kwa ajiri ya amani na kusameana

"jambo la msingi ni kuzungumza.kusameheana na kusahau" alisema baba mtakatifu frances

jambo la msingi sana hili kwa amani ya mashariki ya kati vita iliyodumu kwa miongo kadhaa

swali ni je atafanikiwa?

cc.pasco.mtambuzi.faidhafox.nguruv3.rtze

chanzo .voa

never ever......never again.
 
Waziri mkuu wa Israel hana maamuzi bila msimamo wa wenzake.....Pope huyu anaaminika ana uwezo mkubwa wa ushawishi kitu ambacho ni moja ya sifa iliyofanya achaguliwe ili arudishe imani ya walimwengu kwa Kanisa la Kristo pia kurejesha amani na maelewano ulimwenguni.......ameanza na mgogoro wa karne nyingi sana kama mlima kuelekea urejesho wa ulimwengu uliojaa amani na upendo......God bless man of God Pope Francis I....
 
Nitafurahi sana akiweza kuwapatanisha. Mfupa ulioshinda viongozi wa nchi na kisiasa dunia nzima.
 
Safi sana Pope

Ni jukumu la viongozi wa dini kuhakikisha amani inatawala mahala popote na si kuwaachia wanasiasa na ma vyombo yao ya dola
 
papa frances amewaita waende vatican city mahasimu wa siku nyingi na wakuu wa nchi mbili mahmud abbas wa mamlaka ya palestina na shimon perez wa islaer kwa ajiri ya amani na kusameana

"jambo la msingi ni kuzungumza.kusameheana na kusahau" alisema baba mtakatifu frances

jambo la msingi sana hili kwa amani ya mashariki ya kati vita iliyodumu kwa miongo kadhaa

swali ni je atafanikiwa?

cc.pasco.mtambuzi.faidhafox.nguruv3.rtze

chanzo .voa

Abasi hawezi kwenda Vatican, labda wangekutania DUBAI
 
papa frances amewaita waende vatican city mahasimu wa siku nyingi na wakuu wa nchi mbili mahmud abbas wa mamlaka ya palestina na shimon perez wa islaer kwa ajiri ya amani na kusameana

"jambo la msingi ni kuzungumza.kusameheana na kusahau" alisema baba mtakatifu frances

jambo la msingi sana hili kwa amani ya mashariki ya kati vita iliyodumu kwa miongo kadhaa

swali ni je atafanikiwa?

cc.pasco.mtambuzi.faidhafox.nguruv3.rtze

chanzo .voa

No he won't, The problem is that Palstines would demand for more places
 
papa frances amewaita waende vatican city mahasimu wa siku nyingi na wakuu wa nchi mbili mahmud abbas wa mamlaka ya palestina na shimon perez wa islaer kwa ajiri ya amani na kusameana

"jambo la msingi ni kuzungumza.kusameheana na kusahau" alisema baba mtakatifu frances

jambo la msingi sana hili kwa amani ya mashariki ya kati vita iliyodumu kwa miongo kadhaa

swali ni je atafanikiwa?

cc.pasco.mtambuzi.faidhafox.nguruv3.rtze

chanzo .voa
rais wa israel hanaga mamlaka,waziri mkuu ndo boss na hataki makubaliano.

Juzi hamasi wameachia mamlaka ya gaza kwa serikali ya mpito ili kupisha makubaliano hatua iliyoungwa mkono na marekani,israel wamekasirikia marekani na wamesema hawaitambui serikali hiyo.
Amani haitakuja mpaka hardliner wote wamekwisha katika system ya israel
 
Ni sawa na binadamu asuluhishe uhasama wa paka na panya.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
1Wathesalonike 5:2-3 "Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile wivi ajavyo usiku wakati Wasemapo kuna amani na usalama ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula kama vile utungu umjiavyo mwenye mimba wala hakika hawataokolewa."

Waione: Ntuzu, Basluma Original Eiyer na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Waziri mkuu wa Israel hana maamuzi bila msimamo wa wenzake.....Pope huyu anaaminika ana uwezo mkubwa wa ushawishi kitu ambacho ni moja ya sifa iliyofanya achaguliwe ili arudishe imani ya walimwengu kwa Kanisa la Kristo pia kurejesha amani na maelewano ulimwenguni.......ameanza na mgogoro wa karne nyingi sana kama mlima kuelekea urejesho wa ulimwengu uliojaa amani na upendo......God bless man of God Pope Francis I....
wamerekani wana pressure israel ikubali uwepo wa taifa la palestina na ni juzi tu baada ya serikali ya hamasi kujiuzuru,kerry aliwambia waisrael kuwa marekani itafanya kazi na serikali mpya ya palestina kwamaana ya kuipa misaada ya kuendesha serikali kitu kilichoikasirisha israel na kuamua kuendelea na ujenzi katika maeneo ya wapalestina.

Lakini pia wana plan B just in case kama watakubali uwepo wa serikali ya palestina kuna firm ya israel imepewa kazi ya kuandaa michoro ya namna mji wa jerusalem utagawanywa baina ya waisrael na wapalestina.
http://www.haaretz.com/news/national/1.595575
 
Abassi alikubali mwaliko siku ileile mkuu na pia shimon nae alikubali,hata kama watakubaliana netanyahu hatakubali.
Shimon Peres hana mamlaka ya kukubaliana lolote kwa niaba ya Israel. Mazungumzo yoyote juu ya mgogoro huo kati ya Abbas na Shimon Peres ni sawa tu na mazungumzo ya kwenye kahawa...hayana mafungano kwa yeyote..
 
Kwanza huwa nashindwa kuwaelewa wana wa izilael maana mpaka leo hawajakuwa na nchi yao ya ahadi hata hapo yerusalemu sina huwakika kama ndiyo nchi yao ya ahadi. Na kitu kingine cha kujiuliza nivipi wagangane na ukanda wa gaza maana MUNGU hajawahi kuwaonyesha nchi yao ya ahadi.
 
waisrael hawana hamu na gaza,si waliitema.gaza kabla ya mwaka 1967 ilikua chini ya egypt.baada ya vita wakaiteka,vita vilipoisha yakawepo mazungumzo wakataka kuirudisha kwa egypt.EGYPT wakaikataa.

Ikabidi iwe chini ya utawala wao lakini mwaka 2000 waliitema katika walichokiita,unilateral disengagement,na hiyo ilitokana na mashambulizi ya hamasi kupeleka kuwa gharama kutawala eneo hilo kwamaana ya cost and blood.wakaondoa vikosi vyao na kuviweka nje ya gaza.
Israel inaendeleza ujenzi katika maeneo ya wapalestina kule east jerusalem katika jitihada ya kuongeza population yao katika mji huo ili baadae wawe majority na hivyo kujustify kuwa mji wao.
Na pia baadhi ya maeneo ya westbank.
 
Back
Top Bottom