Mgogoro ndani ya CHADEMA!?

Huo ni umbeya hebu thibitisha huo ujumbe wa mboye uliuona wapi?

Habari za kimbeya hazifai ktk jamii
 
Wapumbavu kama wewe hatutwaachia muingize ujing wenu hapa peleka ccm kwenu umbeya wako huko unaandika pumba lazima upewe pumba kaa pembeni pumbavu wewe


Wewe ndio unaweza kuwa mpumbavu zaidi ya mleta uzi'kwa sababu akili yako ilivyo fupi unataka watu wote wawe na mawazo kama yako yakuamini CDM kama chama cha malaika walio perfect'ujinga huo'
 
point of education

acha umbeya na habari za kizushi pia migogoro ya kufikirika badala yake jikite tuhabarisha mazuri yanayo tendeka kwenu mfano jana kulikuwa na mkutano Kigoma ulipaswa kutuhabariswa nini kilisemwa badala ya uhuni huu

kwa mtindo huu hamjijengi nasi tutaendelea kuwabomoa zaidi ili mkose nafasi ya kutangaza mazuri yenu kama yapo
 
hili ni jukwaa la siasa majukwaa ya wasio na vyama yapo tena mengi hapa JF mfano MMU, jukwaa la sayansi

wewe ulitegemea tukubaliane na huu wa mchana as if hatuna akili - hivi mnafahamu maana ya migogoro lakini

 

Mkuu ukishakabidhiwa nchi huwezi kuchinjana unaweza kuchinja. Nchi tamu wewe kila mtu atakuwa akila bila kugusa mono wa mwenzake.
 

Vp ungeonana na mwigulu akuonyeshe hiyo msg halafu ungeiweka hapa, au mtambo wenu wa kughushi msg mmeshaurudisha?
 
Umepewa lini huo Usemaji wa CDM na wewe Ni Gamba!Ni Mwendelezo wa Ule waraka wa Mwigulu Nchemba kuhusu Propoganda za Kichina.
 

kutoelewana huko hakujaanza jana wala leo tangu zamani na zitto ni miongoni mwa wanachama wanaokataa "mfumo kwetu"
 
Kuna mmoja washwawashwa na mwingine anatumia kichwa kufugia nywele akidhani zitamuongezea uwezo wa kufikiri.
 
wana CDM wenzangu, mimi nafikir si kila kitu kisemwacho ambacho kwetu mi tofauti tukichukie hebu tulipokeee hii kama changamoto? nafikiri ni wai kwa CCM na vyama vingine vya upinzani wanatugwaya lakini tusibweteke na kujiona malaika tupokee changamoto zote tuzipatazo tena tungeweza kuwa thread kama hizi zikipostiwa sisi tunasimama kuonyesha ni kwa jinsi gani ambavyo tutakisaidia chama kupita katika changamoto hyo.

mimi namwambia hivi mtoa mada wala usitutishe eti kuna mgogoro chama chetu n chama ambacho watu ana uhuru wa kuongea na kutenda si kama ilivyo ccm mabayo mpaka baba riz aseme. huwa pia tunatenda kwa maslah ya wanachama wote so mnyika asingeweza kwenda singida aanzishe vita ilihali wale ni wanachama wake hayo mnapandikiza nyie lakini nguvu ya CDM ni kubwa sana kiasi kwamba hata kama ccm itajiunga na upinzani wote hawataikuta mnguvu hii.

ppleeeeeeeeeeeeeeez power
 

Unawasilisha nini?
 

Bila kujiuliza mara mbili wewe ni gamba uliyetumwa humu jamvini kuichafua CDM ila siku zote mmekuwa mkigundulika kutokana na hoja zenu zinakuwa hazina mashiko na ni dhaifu kama alivyo m/kiti wenu. Chakukujibu tu ni kwamba tumekusikia tumekupuuza na sasa tunaendeleza arakati zetu.
 
Leo kuna wachina wamekutwa katika harakati za kuchimba madini,kwenye mbuga ya wanyama ya Katavi pasipokuwa na mkataba maalumu...Upande wa pili watendaji ambao ndiyo wenye chama tawala wako bize kwenye mitandao,wakiwachafua viongozi wa upinzani.

Mkuu siyo kwamba walikuwa bize bali wamesha ahidiana percent yao!
 

Teh na kweli!
 
Hivi, mbona huyu Ritz sijamwona kwenye ile thread inayozungumzia jinsi Riziwani anavyojilimbikizia mali Tanzania kote?

Badala ya kujadili hoja na mipango yenu ya Chadema mnamjadili Ritz Chadema bana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…