Uongo mbaya
Member
- Oct 29, 2013
- 17
- 3
learn to summarize
Kila kukicha mawazo yenu ni chadema.
Mtahangaika sana, chadema inasonga.
Nyie endeleeni kubaka yatima na kuwaambukiza ukimwi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kila siku nasema humu jf kuwa chadema walianza na shetani watamaliza na shetani.
Lila ukilala unaota chadema dume......mpaka utazima tuKila siku nasema humu jf kuwa chadema walianza na shetani watamaliza na shetani.
Ukiona unasema, kila siku unarudia kitu h
Mkuu umenena vema.....kama ana akil ataazua
!
!
hebu aliyesoma yote afanye ufupisho jamani,maana mambo ya migogoro ya chadema nimechoka nayo sihitaji kusikia naumia moyo tu....na hili bandiko reeeeeeefu natamani kulisoma lakini ni refu sana msaada tafadhali
if you want to hide something to TANZANIANS, put in writtings (books)
Makala ya mwaka 2011, Mwandishi Magafu alifukuzwa na kuhama CCM, Mushumbusi Wilson alisimamishwa ukatibu wa Mkoa tangu 2011, leo unaweka kama ni story ya jana aibu .....
...kwa hiyo ndo mmeigeuza JF dampo,takatakata zote mnazozalishwa Lumumba mnakuja kuzibwaga hapa!?...
Chadema imekufa
Chadema imekufa
chadema lazma ifikie kipindi tukubal kukosolewa, kila ikitoka mada ya kukosoa majitu yanaponda tu.
Umeziona picha za Lema?
Umeziona picha za Lema?