Mgogoro mpaka waTanzania na Kenya eneo la TAVETA

Wakenya hawana uwezo wa kupigana vita na watz, uwezo wao umeishia kwa al shababu na mungiki...hata hivyo, hilo ni tatizo dogo sana kwa east africa....hakuna siku hata moja kenya and tz watapigana...kupigana ni uamuzi unaochukua busara na tafakari nzito,si haraka haraka tu.

hahaha, Tanzania haina hata jeshi jamani,... hahahaha.. keep on dreaming sir, GSU tayari itawatoa kijasho
 
Ukweli nu kuwa Wakenya wanasumbuliwa sana hapa Tz njaa imezidi Uhamiaji,Polisi,TRA hawa watu wanafanya biashara na watanzania ifike maali tuamke wazazi kusumbua wageni ni kujinyima investment na opportunity nyingine nyingi.

Sitta kamalize hiyo kesi mzazi
 
hahaha, Tanzania haina hata jeshi jamani,... hahahaha.. keep on dreaming sir, GSU tayari itawatoa kijasho
We mungiki hapo umeniuzi kweli! Hatutaki ugomvi na jirani zetu ila kwa kejeli kama hizo za enzi za unyang'au ndizo ziletazo vita. Hili suala ni la kuzungumzika kwa vile ni la kiitifaki.
Ila kama yakija mambo ya mbwai mbwai, kwa vile sasa hivi nyie mna njaa sana hivyo askari wenu ni wadhoofu tunatuma jeshi la mgambo pamoja na Green Guard (kile kikosi cha chama cha wenyewe) kuwachezesha kwata hao GSU wenu (joke)
 
Wakenya wamezidi matusi na Fluent Broken English yao.
TAnzania siyo South Kenya wala si shamba la BIBI.
Kama wanakufa kwa njaa that is not our problem, the problem is hata ndani ya Tanzania watu wanakufa kwa njaa.
Eti Wakenya wanakuja kufanya Investment? They dont have any thing to invest here wamekuja kutake adavantage ya udhaifu wa serikali ya CCM. Serikali CCM iko kama kivuli tu wageni wanakuja hapa wanachukua mpaka kazi za kufagia katika ofisi za mashirika ya kigeni eti tu kwa sababu wanajitahidi kwenye kuongea Broken Fluent English.

Nch inaendeshwa kwa Rushwa sasa kama wao wakiingia wantumia mwana huo kujipenyeza iweje Rushwa ikitozwa pale mpakani washituke??

Meno kaa shoka la mkata kuni.
 
hahaha, Tanzania haina hata jeshi jamani,... hahahaha.. keep on dreaming sir, GSU tayari itawatoa kijasho

Tanzania in ajeshi kubwa sana, ni jeshi ambalo lina umoja mkubwa sana....umoja spiritually na watu wako tayari hata kufa kwaajili ya nchi yao....ni tofauti na kenya ambako watu wanaishi kwa kubaguana, na hawajaungana kutoka moyoni. kupigana vita na watu wenye umoja wa moyoni ni tofauti na kupigana vita na watu wenye umoja machoni tu. cha muhimu hapa hatuongelei vita kati ya tz na kenya, kwasababu hilo halitakuja kutokea katika maisha yetu, hata iweje....kupigana vita ni kitu kikubwa sana, ambacho unahitaji kuhesabu garama na kuanticipate the aftermath ya vita hata kabla...nchi hizi mbili zikikorofishana, maisha east africa yatakuwa mabaya sana kama vile south and north korea, au south and north sudan. hakuna nayependa tuishi maisha kama hayo na tunatakiwa ku avoid vita siku zote katika eneo hili. ndio maana hata museven hajapigana na kenya, pamoja na kwamba kenya walishaanza kuogopa kupigwa hata kabla mzee wa gorilla hajatia timu kuanza kuwapiga mungiki.

lakini, kama tunataka kutathmini uwezo wa kivita, wakenye ni wa kuwaonea huruma, kupigana na wakenya ni sawa na kupigana na mtoto. tanzania kupigana na kenya ni sawa na simba kupigana na paka....kenya is too junior to us kwakweli, cha muhimu tutakachofanya ni kuingia kwenye majadiliano tu diplomatically, ili tusifike mbali...lakini kama tukiamua kufika mbali, hawawezi kuchukua hata round moja.

Tanzania tunajivunia umoja, umoja wetu ni kitu kikubwa sana. pia, kama ilivyo Rwanda, asilimia kuwa ya watz ni kama wafanyakazi wa usalama wa Taifa. ndivyo tulivyokuzwa na nyerere. Mungu alitusaidia kumpiga idi amini hadi ikulu yake, ingekuwa wakenya, wangeishia wote mto kagera...juzi hapa tumeenda kuwakomboa comoro...tumetuma majeshi yetu sana kukomboa baadhi ya nchi za kuzini mwa africa, kenya haina sifa kama hiyo...uzoefu wa jeshi letu, na umoja wetu ni silaka kubwa kuliko bomb la nuklia...hata kama silaha zetu zinaweza kuwa si bora sana, bado tuko juu sana kivita kuliko ambavyo ungetegemea. Mungu ibariki Tanzania.
 
Usijidanganye huijui Kenya wewe! Vitu vya siku hizi sio maneno, ni nguvu za kiuchumi! Vita vya siku hizi sio watu, ni technolojia, ndo maana America inanyanyasa dunia, FYI katika ukanda huu Ethiopia na Kenya ndio wenye zana za kisasa kabisa za vita! Don't underestimate kenya they are far superior than you!
 
Mkuu leta data, silaha zipi za kisasa walizonazo Jeshi la Kenya/Ethiopia ambazo hazipo Tz?
 
Mkuu leta data, silaha zipi za kisasa walizonazo Jeshi la Kenya/Ethiopia ambazo hazipo Tz?

This post presents two Top 25 lists of Military spenders in Africa.
The first table lists 25 countries which have the largest military spending in the continent. The Second table presents 25 countries with high military expenditure relative to their GDP.
The data is from the Stockholm International Peace Research Institute(SIPRI), which is deemed an authority in the subject matter. SIPRI’s global military expenditure data serves as the sole source for the World Development Indicators(WDI) database which is maintained by the World Bank. Since the WDI database is not updated for 2010, I fetched the latest data directly from SIPRI database. [Read the explanatory notes at the bottom for the methodology.]
Table – 1: Military expenditure size from 2006-2010 [in millions of US Dollars]
Rank
Country
2006
2007
2008
2009
2010
1st.
Algeria
3,557
4,173
4,862
5,281
5,586
2nd.
Egypt
4,413
4,444
4,139
4,017
3,914
3rd.
Angola
2,728
2,393
2,479
3,165
3,774
4th.
South Africa
3,782
3,713
3,647
3,813
3,735
5th.
Morocco
2,490
2,565
2,861
3,055
3,256
6th.
Nigeria
879
1,021
1,435
1,504
1,724
7th.
Kenya
530
594
567
580
594
8th.
Tunisia
551
507
550
532
548
9th.
Cameroon
312
327
339
343
368
10th.
Botswana
301
331
346
363
352
11th.
Ethiopia
469
429
343
340
338
12th.
Namibia
204
228
282
300
329
13th.
Uganda
263
296
346
315
276
14th.
Zambia
209
151
252
212
243
15th.
Chad
. .
479
638
436
242
16th.
Senegal
182
205
204
208
207
17th.
Mali
165
179
167
174
183
18th.
Congo, Dem. Rep.
238
225
162
122
163
19th.
Burkina Faso
89
110
120
110
140
20th.
Gabon
138
134
. .
. .
134
21st.
Congo
108
121
141
. .
133
22nd.
Ghana
75.8
116
102
113
115
23rd.
Swaziland
62.3
62.6
69.7
101
102
24th.
Zimbabwe
107
. .
. .
. .
93.8
25th.
Rwanda
73.6
68.2
71.9
75.3
77.2
Figures are in millions US Dollars, at constant 2009 prices and exchange rates.
". ." = data unavailable.
 
Back
Top Bottom