viva tido mhando; tutakukumbuka sana kwa umahiri wako katika tasnia ya habari!! Ccm walitumbukiza lulu chooni!!
stashangaa kusikia CDM wahusika na kuna mtu ataonekana kwenye Video akipanga njama za kuangamiza shirika zuri la umma
Mkuu umeona eeeh!!hata mtangazaji akiwa anatangaza taarifa utamwona anavyotangaza kwa unyonge kama amelazimishwa vile kumbe hajalipwa mshahara
Inakufa kama bwana ake atakavyokufa 2015 heheheheehehehheeheh
Mkuu umeona eeeh!!
Yaani utadhani analazimishwa vile au kawekewa mtutu wa Bunduki mbele.
Yaani kitengo cha habari TBC(Ambacho ni muhimu na sensitive sana) kwa sasa ni kama kinakufa maana siku hizi huwezi kuangalia 'section' yoyote ya Habari TBC kusiwepo na Professional blunders(Partial story, Unbalance news etc) au Technical problems(Picture, Sound, Graphics nk)
*Maneno ''Tunaomba radhi kwa Usumbufu uliojitokeza'' yamekuwa ya kawaida kabisa kila utazamapo habari TBC kwa sasa.
Ndani ya Taasisi ya Utangazaji Tanzania(TBC) kwa sasa kuna mgogoro mkubwa sana unafukuta chini kwa chini ukihusisha pande mbili kuu, yaani Wafanyakazi wa kawaida na Uongozi wa juu wa shirika hilo, kuhusu madai yafuatao na huku wakitaka Mkurugenzi mkuu wa sasa wa TBC afukuzwe na bodi ya shirika hilo ivunjwe;
1/Ubaguzi katika kupewa vyeo, Posho na marupurupu(Suala la Itikadi, Ukanda na Udini linatajwa sana)
2/Kuruhusu wanasiasa(Viongozi wa serikali na makada wa CCM) kuingilia wanavyotaka kazi za kitaaluma katika utoaji wa habari hususani kuhariri(Kuchuja) habari.
3/Kutokulipwa malimbikizo ya madeni ya madai ya siku za nyuma.
4/Utendaji Duni na Mbovu wa Mkurugenzi mkuu Clement Mshana hadi kufikia kumpa jina la dhihaka la 'BOYA'
5/Vitisho vya kufukuzwa kazi kwa baadhi ya watumishi wanaohoji sana mwenendo mbovu wa shirika hilo kwa sasa.
6/Mvutano wa Chini kwa chini kati ya Wakurugenzi waliowekwa na Lowassa wakati akiwa waziri mkuu na wapya walioletwa na Pinda.
*Pia kuna issue ya mkataba tata(White Elephant) kati ya TBC na Startimes(Wachina!) ambao Terms, Conditions, Investment, Dividend na Shares havijawekwa wazi na sawasawa, japokuwa Mkurugenzi mkuu na Bodi yake ya sasa wanadai wameurithi tu lakini sio 'wapishi' kamili wa hicho kilichopikwa!!
Ikafie mbali manyang'au matibisisiem,takataka kabisa wanatumiwa na masisiem kama ile mipira ya wanaume!!!ptyuuuuu!!tupa kuleeee!!!!
Mkuu hilo la uteuzi wa mkurugenzi kuteuliwa kupitia Bunge litawezekana tu kupitia Kuwepo katika mpya au CCM itakapoondolewa madarakani.irudishwe kuwa mali ya umma
mkurugenzi wake achujwe na bunge
iwe chombo huru kisichofungamana na upande wowote
hapo ndio itapata watazamaji
kwa sasa wacha ijifie tu kwani CCM wameshindwa kuwalipa wakati ni TV yao..TBCCM
hata mtangazaji akiwa anatangaza taarifa utamwona anavyotangaza kwa unyonge kama amelazimishwa vile kumbe hajalipwa mshahara
unapofanya mabaya tegemea kufikwa na mabaya
hata mtangazaji akiwa anatangaza taarifa utamwona anavyotangaza kwa unyonge kama amelazimishwa vile kumbe hajalipwa mshahara