Mgogoro IPTL kuwatoa kafara Mawaziri

Mgogoro IPTL kuwatoa kafara Mawaziri

Huyu Mhariri na Mwandishi wa habari hii sijui nao walivuta Ngapi?!!! wizi mtupu.

Wewe umevuta ngapi ndugu?? Au hawa mtanzania wao wanavuta ngapi??? Ona taarifa zao zinavyoyumba kila siku. Nenda " mtanzania.co.tz" kaone kilichopo front page alafu search taarifa hii " Ripoti ya IPTL nyeupe" kama utaipata!

attachment.php
attachment.php
 
Ripoti ya CAG imetoka, magazeti mengi yamefunua kombe ngoja tuone kama mwanaharam atapita safari hii
 
Membe kawambia report ile ya kupika hamna kitu, na kusema ukweli ukiona eti wa kwanza ana 13,12 na 11 usanii mtupu
Wala sio UKAWA pekee walotengenezwa, hata sisi Tanzania kwanza tunahaha kuhusu yule ambaye TWAWEZA walimweka mbele ya wote.
 
tulipokua wadogo kijijini kulikua na kadawa flani kakuzima msala/kesi,unaenda kunya kichakani af unafunika kinyesi kwa hayo majani ya mti flani hivi,kama hukwenda shule basi baba anakua mpole tu hupigwi au kama kuna kosa umefanya unsamehewa tu from nowhere.Mi nadhani wahusika mkatafute tu hakuna ujanja.
 
Pasco eti ni kweli kuwa na wewe uliambulia mgao?
Mamnde, mimi nilipata mgao mkubwa sana!, ndio maana unaona jinsi ninavyomtetea Singa Singa humu jf!.
Zile bahasha zetu kwa kawaida huwekewa 20,000/= tuu!, mimi nilipewa 50,000/= ambazo ni pesa nyingi sana, na haswa ukizingatia naandikia jf media pekee!, sii haba!, hiyo 50,000= kwa hesabu ya ile heavy lunch yangu ya muogo kwa maji ya mia!, 50,000 ni lunch ya robo mwaka na siku 10 zinabaki!.

Mini ni tajiri!, usipime!.

Pasco.
 
umesoma Management Letters zake za nyuma hujakuta hiyo hoja?btw hoja yako nini hasa kwa CAG regarding kwamba ameonyesha overpayment sasa

Hoja yangu ni kwamba kwa nini ameonyesha overpayment baada ya miaka 10, kwa nini hajakuiona katika mwaka wa 1,2,3,4,5,...........? ili aizuie isiendelee.
 
tulipokua wadogo kijijini kulikua na kadawa flani kakuzima msala/kesi,unaenda kunya kichakani af unafunika kinyesi kwa hayo majani ya mti flani hivi,kama hukwenda shule basi baba anakua mpole tu hupigwi au kama kuna kosa umefanya unsamehewa tu from nowhere.Mi nadhani wahusika mkatafute tu hakuna ujanja.

Nasi tulikuwa na nyingine ya kukunja vidole vya mikono, nayo pia waitumie wakiwa mle Bungeni.
 
Siungi mkono hoja Pasco.
Wewe ni tajiri ila siyo tajiri wa bahasha zile.
Mamnde, mimi nilipata mgao mkubwa sana!, ndio maana unaona jinsi ninavyomtetea Singa Singa humu jf!.
Zile bahasha zetu kwa kawaida huwekewa 20,000/= tuu!, mimi nilipewa 50,000/= ambazo ni pesa nyingi sana, na haswa ukizingatia naandikia jf media pekee!, sii haba!, hiyo 50,000= kwa hesabu ya ile heavy lunch yangu ya muogo kwa maji ya mia!, 50,000 ni lunch ya robo mwaka na siku 10 zinabaki!.

Mini ni tajiri!, usipime!.

Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi mbona hachambui ripoti ya CAG, anachambua tu hoja za wabunge na waandishi? Kwa taarifa yake fedha zilizokuwa zinawekwa ESCROW account ama zote zilikuwa za TANESCO au zote za IPTL, au zingine za TANESCO na zingine za IPTL. Kwa vyovyote vile zilizokuwa za TANESCO ni fedha za umma. CAG anasema zote zilikuwa za TANESCO kwani walikuwa wanapunjwa na IPTL miaka yote hiyo.
 
we East African Eagle nikikuona lazima nikule 0713 maana unatumia nguvu sana kutetea mafisadi
 
Back
Top Bottom