Watanzania wajifunze kuishi na uchaguzi wao... kama serikali yao iko tayari kutumia bilioni 61 kununua majengo matatu Marekani na imehalalishwa kwa sababu kuna matarajio ya matokeo bora huko mbeleni well.. hakuna wa kulalamika.
Serikali ya CCM ni kiziwi!Ahsante luten kanal Dr Dr Dr Dr Dr J Kikwete kwa kuimalza CCM,utaondoka nayo 2015
Honestly naomba Mr David Cameron atangaze "kupata msaada lazima mkubali ushoga". Najua it's a thorny issue politically, and they will decide not to. Then tuanze kujitegemea tuone kama watanunua majumba huko nje.
Kununua jengo hilo ni moja, lakini jengo la ghorofa 6 New York kwa nchi inayoomba hata vyandarua vya kuzuia mbu ni maajabu ya Mussa! $24 million ni mansion ya nguvu hata kwa viwango vya wauza mafuta -Saudia. Na gharama za kuendesha jengo kama hilo ni kubwa sana. Hivi tuna shughuli gani kubwa hivyo huko New York zaidi ya kupitisha kibakuli kiasi kwamba tunahitaji jengo la ghorofa 6?
Tumeambia miradi mingi ya barabara imesimama kwa sababu hakuna hela.Mishahara imekwamba. Na kama haitoshi wafadhili nao wamepunguza hela walizo ahidi. Mfano Uiengereza wanapunguza msaada kwenye budget yetu by 30%. Tukumbuke Uiengereza ndio wanatoa kiasi kikubwa kwenye bajeti kuu ya serikali kuliko mfadhili mwingine yoyote. Wanachangia takribani 30% ya hela yote inayotelewa na wafadhili (combined). Kwa hiyo kama wanapunguza ni kwamba tutaumia vibaya. Kwa hali hii inakuwaje tununue majengo ya ki-celebrity?
Honestly naomba Mr David Cameron atangaze "kupata msaada lazima mkubali ushoga". Najua it's a thorny issue politically, and they will decide not to. Then tuanze kujitegemea tuone kama watanunua majumba huko nje.
Honestly naomba Mr David Cameron atangaze "kupata msaada lazima mkubali ushoga". Najua it's a thorny issue politically, and they will decide not to. Then tuanze kujitegemea tuone kama watanunua majumba huko nje.
Mzee Mwanakijiji, hili halina tatizo as long as tulibudget hiyo pesa na katika budgeting, hizo ndizo priorities tulizojiwekea!.Watanzania wajifunze kuishi na uchaguzi wao... kama serikali yao iko tayari kutumia bilioni 61 kununua majengo matatu Marekani na imehalalishwa kwa sababu kuna matarajio ya matokeo bora huko mbeleni well.. hakuna wa kulalamika.