Wafanyakazi 1300 wameshapunguzwa" Maendeleo hayana chama " Kwi! Kwi! Kwi! ,
yeah ni kweli kabisa! kuna projects nyingi zilikua zianze lkn nyingi zimekua on hold au kufutwa kabisa kutokana na mazingira mabaya ya uwekezajiMazingira ya nchi hii kwa sasa ni vigumu sana kufanya business. Mahali ambapo you can't predict what will happen tomorrow ni pagumu sana kuwekeza.
We karai, unajua sababu za kufunga mgodi??Wafunge tu maana kodi zetu zinatumika vibaya
Wakati wanaiba mlikuwa wapi?hata wakiondoka poa walituibia sana wacha waende
Koma kunizoea we mamaWe karai, unajua sababu za kufunga mgodi??
Walowakaribisha wapo swafi na hawaulizwi.hata wakiondoka poa walituibia sana wacha waende
Ndo mwaanza kushituka?" Maendeleo hayana chama " Kwi! Kwi! Kwi! ,