Mgodi wa Buzwagi wauza Magari, mitambo n.k. kwa mnada Jumatatu 5 Machi

Mazingira ya nchi hii kwa sasa ni vigumu sana kufanya business. Mahali ambapo you can't predict what will happen tomorrow ni pagumu sana kuwekeza.
Uwekezaji ambao nchi haipati cho chote ni wizi wa maliasili. Hatutaki such business. Waondoke, madini huwa hayaozi iko siku hata vitukuu vyetu vitakuja kuwa na uwezo wa kuyachimba.
 
Registration inafanyika mgodini au Ofisi za Acacia, TAN HOUSE, Victoria, Dar.
 
Watu wanamikwanja, nasikia huko nje kuna wasukuma kumi wamejitokeza kuununua huo mgodi akiwemo nsagali baraka nchambi, pia nasikia vijana wa rostam wameshatia team, kuanzia jana hotel kubwa zimejaa wageni.
 
Nsagali ni jina la KisuQuma kweli?
 
Back
Top Bottom