Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,315
- 24,177
Kwa kuanzia, wengi wetu wafuatiliaji masuala ya uchumi, tulisituka kuona kwenye luninga na vyombo vingine vya habari juu ya mnada wa mitambo ya uzalishaji mgodini Buzwagi.
Tulisituka kwani maana yake ni uzalishaji kusimama, wananchi kukosa kazi, mapato ya aina yoyote yaliyokuwepo kupotea kabisa.
Kwa maana ya maendeleo hii ni hataua mbili nyuma.
Tunajua kuna mgogoro kati ya Serikali na wanaoendesha mgodi huo kwa muda sasa, lakini hii ndo dalili ya wazi kuwa hakuna muafaka.
Tunajua kuwa kutokana na biashara ya mgodi huo, kuna kodi na madeni mengi yanayoikabili kampuni mama ya Buzwagi ambayo inaitwa Barrick.
Buzwagi (Barrick) wamebwaga manyanga, wanaondoka.
Sasa cha kushangaza, leo gazetini Mwananchi pg 5.
"Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila alisema Buzwagi walitoa tangazo la mnada bila kuwasiliana na Serikali, jambo ambalo ni kinyume na taratibu.
"Tofauti na sekta nyingine, Profesa Msanjila alibainisha utaratibu wa kufunga mgodi wowote nchini kwamba lazima waendeshaji watoe taarifa Serikalini kwa kueleza sababu za kufanya hivyo".
Hapo ndo ninapo changanyikiwa.
Serikali haijui kwa nini mgodi unafungwa!!!
Na habari zilizopo(Mwananchi) ni kwamba watu toka Dubai,Congo DRC, Oman wamejitokeza kununua hivyo vifaa.
Ushauri wangu tu, sekta ya madini ni very sensitive kwa vile ina heavy investments. Tusieendeshe kwa Trial an Error.