Hiyo inakuwa ni first class ticket to heaven?Msiba wa kueleweka huwa na mgeni wa heshima ukiona huna mgeni wa heshima huyo mtu hamumuziki bali mnamfukia na uage kuwa unaenda kufukia mtu sio kuzika
Lakini hiyo maana ya Chief Mourner kama mgeni wa heshima umeitoa wapi?Tumuulize chief mourner
Sio kila mwili unashambuliwa na huo nimwili wa maskini aliyefukiwa ambaye hakuzikwa .Mwili wa matajiri huzikwa kwenye jeneza lililwekwa dawa hauozi .Mwili wa Kenyatta hadi leo uko fit na suti zake hao ndio wanazikwa wengine wanafukiwaHaya mambo ya kuzika ni mbwembwe tu.
Mtu akifa ndiyo mwisho wa thamani yake,mwili Hauna thamani yoyote uzikwe,ufukiwe,uchomwe moto yote sawa.
Mnazika kwa heshima na gharama kubwa,siku chache zijazo mwili unashambuliwa na funza.
Chief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maanamimi nikifa mume wangu ni chief mourner au watoto wangu.
Hahahhahaaa yehodaya kichaa kamilifu ww🤣🤣Chief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maans
a waluchonacho nini kikubwa kwenye jamii hadi wawe chief mourner? Ninahofia utafukiwa hutazikwa
Uzuri hata wewe pia utafukiwa,maana huna impact yoyote kwa familia na hata jamii yako kwa ujumla,.Kwenye msiba ukialika mfano Rais huwa hatambulishwi kama Raisi anatakiwa kutambulishwa kama Chief Mourner au mwombolezaji mkuu
Mfano Iganda leo Rais kaenda msiba wa Kumzika zAskofu Mkuu wa Katoliki anatambulishwa kama Chief Mourner
Msiba wa kueleweka huwa na mgeni wa heshima ukiona huna mgeni wa heshima huyo mtu hamumuziki bali mnamfukia na uage kuwa unaenda kufukia mtu sio kuzika
Wanaozikwa misiba yao huwa na wageni wa heshima ma Chief Mourner au waombolezaji wakuu
Issue sio anayezikwa balin ni mgeni wa heshima chief mourner atakayefika msibani ndiye anaupa msiba uzito kuwa huyo aliyekufa hafukiwi anazikwaUzuri hata wewe pia utafukiwa,maana huna impact yoyote kwa familia na hata jamii yako kwa ujumla,.
Are you trolling? Au ndio haujui?Chief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maana
walichonacho nini kikubwa kwenye jamii hadi wawe chief mourner? Ninahofia utafukiwa hutazikwa
Hahhahahahahaa nakufa kwa raha mm jamanNa mkalimani anadondokea wapi
Marehemu anakunywa chai?Sio kila mwili unashambuliwa na huo nimwili wa maskini aliyefukiwa ambaye hakuzikwa .Mwili wa matajiri huzikwa kwenye jeneza lililwekwa dawa hauozi .Mwili wa Kenyatta hadi leo uko fit na suti zake hao ndio wanazikwa wengine wanafukiwa
Kwahiyo mke wa mwendazake hakutakiwa kuwa chief mournerChief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maana
walichonacho nini kikubwa kwenye jamii hadi wawe chief mourner? Ninahofia utafukiwa hutazikwa