Mgeni wa heshima kwenye Msiba unajua huitwa nani? huitwa Chief Mourner au mwombolezaji mkuu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Kwenye msiba ukialika mfano Rais huwa hatambulishwi kama Raisi anatakiwa kutambulishwa kama Chief Mourner au mwombolezaji mkuu

Mfano Iganda leo Rais kaenda msiba wa Kumzika zAskofu Mkuu wa Katoliki anatambulishwa kama Chief Mourner

Msiba wa kueleweka huwa na mgeni wa heshima ukiona huna mgeni wa heshima huyo mtu hamumuziki bali mnamfukia na uage kuwa unaenda kufukia mtu sio kuzika

Wanaozikwa misiba yao huwa na wageni wa heshima ma Chief Mourner au waombolezaji wakuu
 
Haya mambo ya kuzika ni mbwembwe tu.
Mtu akifa ndiyo mwisho wa thamani yake,mwili Hauna thamani yoyote uzikwe,ufukiwe,uchomwe moto yote sawa.

Mnazika kwa heshima na gharama kubwa,siku chache zijazo mwili unashambuliwa na funza.
Sio kila mwili unashambuliwa na huo nimwili wa maskini aliyefukiwa ambaye hakuzikwa .Mwili wa matajiri huzikwa kwenye jeneza lililwekwa dawa hauozi .Mwili wa Kenyatta hadi leo uko fit na suti zake hao ndio wanazikwa wengine wanafukiwa
 
mimi nikifa mume wangu ni chief mourner au watoto wangu.
Chief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maana
walichonacho nini kikubwa kwenye jamii hadi wawe chief mourner? Ninahofia utafukiwa hutazikwa
 
Chief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maans
a waluchonacho nini kikubwa kwenye jamii hadi wawe chief mourner? Ninahofia utafukiwa hutazikwa
Hahahhahaaa yehodaya kichaa kamilifu ww🤣🤣
 
Kwenye msiba ukialika mfano Rais huwa hatambulishwi kama Raisi anatakiwa kutambulishwa kama Chief Mourner au mwombolezaji mkuu

Mfano Iganda leo Rais kaenda msiba wa Kumzika zAskofu Mkuu wa Katoliki anatambulishwa kama Chief Mourner

Msiba wa kueleweka huwa na mgeni wa heshima ukiona huna mgeni wa heshima huyo mtu hamumuziki bali mnamfukia na uage kuwa unaenda kufukia mtu sio kuzika

Wanaozikwa misiba yao huwa na wageni wa heshima ma Chief Mourner au waombolezaji wakuu
Uzuri hata wewe pia utafukiwa,maana huna impact yoyote kwa familia na hata jamii yako kwa ujumla,.
 
Issue sio anayezikwa balin ni mgeni wa heshima chief mourner atakayefika msibani ndiye anaupa msiba uzito kuwa huyo aliyekufa hafukiwi anazikwa
 
Sio kila mwili unashambuliwa na huo nimwili wa maskini aliyefukiwa ambaye hakuzikwa .Mwili wa matajiri huzikwa kwenye jeneza lililwekwa dawa hauozi .Mwili wa Kenyatta hadi leo uko fit na suti zake hao ndio wanazikwa wengine wanafukiwa
Marehemu anakunywa chai?
 
Chief mourner anatakiwa kuwa na hadhi kubwa kwenye jamii kubwa huyo mumeo na wanao cha maana
walichonacho nini kikubwa kwenye jamii hadi wawe chief mourner? Ninahofia utafukiwa hutazikwa
Kwahiyo mke wa mwendazake hakutakiwa kuwa chief mourner
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom