MGENI RASMI KATIKA PICHA MH. Amani Karume na Wadau WAKATI WA DICOTA 2012

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=1][/h]



Mgeni rasmi katika mkutano wa DICOTA 2012 Chicago, Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe. Mwanaidi Maajar pamoja na Maafisa wa Ubalozi Abbas Missana (kushoto), Dr. Mkama (kulia) na Brigedia Maganga (wapili toka kulia)

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa DICOTA.

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya DICOTA 2012, Chicago

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa DICOTA 2012.

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mwananidi Maajar na Balozi Bertha Semu Somi

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na watdogoo

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na washereheshaji, Madjs na Peter Msechu.

Mgeni rasmi Rais mstaafu wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Mhe. Aman Karume na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na wapiga picha.

Picha na VIJIMAMBO
 

Kwanza Mh. Kinana alikuwa DMV kufungua Tawi la CCM
Pili sasa Mh. Karume DIKOTA Minnesota

Pesa zote ni Serikali ya CCM inazitoa

Ukaingalia ziara Nyingine
Mh. Rais yeye yuko Ethiopia Kilioni
Mh. Makamu wa Rais Mkutanoni IRAN - Mkutano wa Non-Alignment Meeting
Mh. Katibu Mkuu wa CCM - Mkutano wa Socialist Countries uko Europe
Mh. Speaker wa Bunge yuko Mkutanoni Europe kuhusu Government's (will up-to-date)

* BILA KUMSAHAU KAKA *** DIAMOND Presidential Approved Invitation
 

Kwanza Mh. Kinana alikuwa DMV kufungua Tawi la CCM
Pili sasa Mh. Karume DIKOTA Minnesota

Pesa zote ni Serikali ya CCM inazitoa

Ukaingalia ziara Nyingine
Mh. Rais yeye yuko Ethiopia Kilioni
Mh. Makamu wa Rais Mkutanoni IRAN - Mkutano wa Non-Alignment Meeting
Mh. Katibu Mkuu wa CCM - Mkutano wa Socialist Countries uko Europe
Mh. Speaker wa Bunge yuko Mkutanoni Europe kuhusu Government's (will up-to-date)

* BILA KUMSAHAU KAKA *** DIAMOND Presidential Approved Invitation

Kutokana na matumizi ya hovyo hovyo ya hawa jamaa ndio maana nchi inakuwa na double digit inflation!!
 
Back
Top Bottom