mgeni na mie

PACHITE

New Member
Aug 11, 2019
3
5
mie ni mgeni wa kipemba upembani kuleeee kwenye marashi ya karafuu naomba munkaribishe vzury ncije nkarudi kwetu pemba.........
 
Karibu sana jukwaani upo sehemu sahihi na salama
Majina yako kamili
Picha yako uliyopiga hivi karibuni

Karibu sana jiskie upo nyumbani
 
mie ni mgeni wa kipemba upembani kuleeee kwenye marashi ya karafuu naomba munkaribishe vzury ncije nkarudi kwetu pemba.........
Tunakukaribisha kikawaida tu ili ukumbuke kwenu
 
Back
Top Bottom