Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
Hahahaaa yan nimecheka mpaka basiSio hawa wa dar lakini
![]()
Hahahaaa yan nimecheka mpaka basiSio hawa wa dar lakini
![]()
Kwa hyo kama mtu pia anataka jikinga na wachawi nyumban kwake anaweza weka mifupa ya nguruwe na aweke kwa staili ipi? Mana nimeona uzi wako kuna kuvaa nguo kuigeuza ...ndala kuzigeuza ..kutembea kinyume nyume .nk.Hivyo vitu viwili havipatani kabisa
Darini kwenye pembe za chumba au hata uvunguni mwa kitandaKwa hyo kama mtu pia anataka jikinga na wachawi nyumban kwake anaweza weka mifupa ya nguruwe na aweke kwa staili ipi? Mana nimeona uzi wako kuna kuvaa nguo kuigeuza ...ndala kuzigeuza ..kutembea kinyume nyume .nk.
Asante sana mana kila siku naota nakula nyama na mbaya zaidi nikiwa nalala saiv sishtuk mpka asubuh hata kama nililala mchana saa nne usiku tayar naanza sinzia kingine nikiamka nakuwa nimejaa tumbo /kuvimbiwa na sitaweza kunywa chai wala chochote mpka saa 6 mchana na kuendelea......pole kwa kuuliza jambo tofaut ndani ya uzi wako ubarikiwe kakaDarini kwenye pembe za chumba au hata uvunguni mwa kitanda
Mmh jaribu hiyo tafadhaliAsante sana mana kila siku naota nakula nyama na mbaya zaidi nikiwa nalala saiv sishtuk mpka asubuh hata kama nililala mchana saa nne usiku tayar naanza sinzia kingine nikiamka nakuwa nimejaa tumbo /kuvimbiwa na sitaweza kunywa chai wala chochote mpka saa 6 mchana na kuendelea......pole kwa kuuliza jambo tofaut ndani ya uzi wako ubarikiwe kaka
Halafu nayafanyaje ndugu yang mana saiv nakula mara moja kwa siku tu na tumbo utadhan nina mimba jamnMmh jaribu hiyo tafadhali
Halafu tafuta mavumba yanaitwa makata, yanapatikana kwenye haya masoko ya kienyeji au tafuta penye wasambaa
Mhhh naona umefurah japo sijajua kilichokufurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
Yani nimecheka mpaka nimepitiliza Kituo ilikua nishuke Usalama nimejikuta Manzese Ahahaaaaaa!!Sio hawa wa dar lakini
![]()
Inabidi utafute nauli urud na budget ishaharibikaYani nimecheka mpaka nimepitiliza Kituo ilikua nishuke Usalama nimejikuta Manzese Ahahaaaaaa!!
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
Mh! Rombo kumepoa sasa ni Dar.Sio hawa wa dar lakini
![]()
Asante sana nitakup mrejesho kakaUnaweka Kijiko kidogo kimoja kwenye maji vuguvugu glass moja kisha unakunywa yote
Paka shoga!!!Sio hawa wa dar lakini
![]()
[emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] huko dar kunahitaji maombi hadi wanyama