binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 967
Habari zenu waungwa ...mim ni mgeni humu ndani ,,,sijui vizuri jinsi ya kucreate mada kwenye segment ya mahusiano na mapenzi nimeitafuta sana hapa sehem ya create thread siajiona wakongwe wa hii forum nisaidieni,,,,maaan nina mada nzito ya segment tajwa hapo juu..
Salaam..
mmh...unapoingia hapo kwenye forum..hakuna hiyo segment ..zipo hizo nyingine nikitaka kupandisha au kushusha haiwezekan...
oooh...kumbe mim ndo nakosea....asante kwa kunielewesha ubarikiwe na bwana
oooh...kumbe mim ndo nakosea....asante kwa kunielewesha ubarikiwe na bwana
Ni pm nikupe maelekezo bintHabari zenu waungwa ...mim ni mgeni humu ndani ,,,sijui vizuri jinsi ya kucreate mada kwenye segment ya mahusiano na mapenzi nimeitafuta sana hapa sehem ya create thread siajiona wakongwe wa hii forum nisaidieni,,,,maaan nina mada nzito ya segment tajwa hapo juu..
Salaam..
kwa prime minister au ndo nin ??? mi najua Pm ndo inamaanisha hivoKaribu mpaka PM my dear!
hapan...wanajisaidia wenyew .. ni marijali ati..yule jammaa aliamua kutuchafua tu...tusingezaliwa kama ndo hivo..vip huko wanaume zenu bado wanasaidiwa na wakenya ?
kwa prime minister au ndo unamaanisha nin PM??Ni pm nikupe maelekezo bint
wa kudumu...Mgen wa kudumu au unapita njia?
Basi karibu pita ndan kbs, nakuandalia malaz!!wa kudumu...
Kwa haya majibu namashaka na ugen wako! Isikute ugen wa id tu!kwa prime minister au ndo unamaanisha nin PM??
Njoo privete mesagekwa prime minister au ndo unamaanisha nin PM??