Mgeni kama mwenyeji vile..nipokeeni jamani.

Ngogi

New Member
Mar 27, 2012
3
1
Habari wana JF?,tafadhari naomba mnipokee nani. Si mgeni sana kwan nimekuwa nikiitumia JF toka mwaka 2007 leo nimeona vyema kuungana na wenzangu kupigania nchi kwa mawazo pia kuwa huru kupata msaada na michango ya kimawazo ya wana great thinkerz.
 
Ushaajiita mwenyeji tukukaribishe je? Duh hapo c utafukuza wagen wote?,hufai kuwa ktk kitengo hicho cha mapokezi Shine
 
Back
Top Bottom