Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,089
- 1,297
Hatimae jiji la Dar es Salaam limepata ugeni mzito kutoka kanda ya ziwa. Ugeni huu umewafurahisha wakazi wengi wa jiji la DSM na viunga vyake na wengi wao wakimtaka abaki nao kwa muda mrefu zaidi kwani anawapa faraja sana kipindi hiki wanavyojaribu kupambana na HAPA KAZI TU. Mgeni huyo amajitahidi kutembelea maeneo yote ya jiji bila kubagua tabaka lolote, Masaki, Mikocheni amefika pia huku kwetu Majimatitu pia amefika. Tunasema karibu nasi kwani umekuwa mkombozi wetu kwa kipindi hiki kigumu.
Wakuu karibuni BALIMI.
Wakuu karibuni BALIMI.