Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 906
gt unadhani mgawe KAMA MGAWE anaweza kufanya kazi yake KWA MFUMO WA HONGKONG?yani mgawe kama mgawe?????
mimi ningejiuliza swali tofauti,NI NANI ALIYEMUWEKA HAPO WAKATI UFANISI WAKE KITAALAMU UPO CHINI?Ndiyo anaweza, NDIYO MAANA ALIKUBALI ALIPOPEWA KAZI HII. Na siyo lazima iwe kama mfumo wa Hongkong, ila kwa ufanisi kama wa Hongkong. Swali la kujiuliza ni kwa nini hafanyi kazi yake? Mpaka atembelewe mara kwa mara na mkuu wa nchi? Watu kama hawa ndiyo wanafaa kufunguliwa mashtaka ya economic sabotage.
mimi ningejiuliza swali tofauti,NI NANI ALIYEMUWEKA HAPO WAKATI UFANISI WAKE KITAALAMU UPO CHINI?
-NI KWANINI RAISI AMTEMBELEE NDIPO AFANYE KAZI YAKE?
-NI KWELI KWAMBA HAKUNA WATAALAMU WA KUIFANYA HIYO KAZI TANZANIA?
-NI KWANINI ASITUPIWE VIRAGO?
Serikali ingetaka ufanisi wa china na hongkong WANGEMTOA PALE WAKAMWEKA MTU STAHILI!naona hilo hawalitaki huenda litadisturb equilibriumamaa sijui alisibwa na nini lakini kwa taarifa za watu wa ndani ni kuwa hakuna mtu ambaye alikuwa na pendwa Bandarini kama Mgawe...kuanzia Makuli mpaka kwenye menejimenti
Then....
Akapewa kile cheo
of course the rest is history...nadhani cheo kilikuwa kikubwa kuliko uwezo wake, na si hivyo tuuu...ameshindwa kutranslate uwezo wake wa awali kuwa vitendo nyanja za juu..maana pale TICS ndio hawezi kuigusa kwa sababu waheshimiwa wana mikono yao...at the same time uwezo wake wa kiongoza TPA umefikia kikomo
hapa gt unazungumzia hii CONTAINER STACKING YARD?ukitaka kujua kama TPA wana akini ndogo tazama strategy zao za kuipanua ile bandari ndio utajua hawa jamaa wako karne ya 3 wakati wenzao wako kwingine kabisa
Serikali ingetaka ufanisi wa china na hongkong WANGEMTOA PALE WAKAMWEKA MTU STAHILI!naona hilo hawalitaki huenda litadisturb equilibrium
hapa gt unazungumzia hii CONTAINER STACKING YARD?
kwa nini tusianzie na Bandari tuwapumulie mgongoni weee mpaka waseme hii nini then i am sure kutakuwa na mabadiliko makubwa tuuu
Tazama MKJJ alivyowakomalia kuhusu Meremeta...PA ni kitego ambacho tunaweza kukibadilisha tukitaka