UKAWA ni CHADEMA na CUF peke yao? Ushirika mzuri ni kuangaliana wote mwende pamoja, sasa hapo NCCR na NLD wametupwa kabisa. Ina maana hawana nguvu hata kidogo hapa DSM?CHADEMA
Ubungo
Kawe
Segerea
Ukonga
CUF
Kinondoni
Kigamboni
Temeke
Ilala
Haki bin haki asiyekubaliana na mgawanyo huo anatafuta UKAWA uvunjike.
hata kama hawana nguvu,la msingi wapewe nafasi na waweke mgombea "hatari" na aungwe mkonoUKAWA ni CHADEMA na CUF peke yao? Ushirika mzuri ni kuangaliana wote mwende pamoja, sasa hapo NCCR na NLD wametupwa kabisa. Ina maana hawana nguvu hata kidogo hapa DSM?
Hivi kuna jimbo la ilala..?
Hivi kuna jimbo la ilala..?
.... Uko Sahihi Mkuu, Ila Sidhan Kama Cuf Inakubalika Chinondoni