Hiyo kwenye red hata mimi nahisi kuna uwoga wa aina hiyo...Funika kombe mwanaharamu apite!Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.
I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.
Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu
Hawawezi kuwahi, maana kuna watu mpaka muda huu tunaongea wamesahanunua jenereta ndogo ya mchina inayouzwa 120,000/= ili wasikose kitu!wanadhibiti tusione mahojiano ya Mr .Prezidenti
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.
I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.
Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.
I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.
Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu
..halafu tunaambiwa uchumi unakua ilhali nchi ipo gizani. tanzania kwa mazingaombwe lolKwa taarifa rasmi nilizozipata : Mgao wa Umeme wa 16hrs per day upo karibu : Yale "mabwawa" yanakaribia kukauka!
na kwa bahati njema hawana remote control za generators. labda waamue kusitisha huduma za social halls at such time kwa hati za dharura.Wakizima umeme, wenye Video show za movie, mipira wanaonyesha Dr Slaa bure kwa generator. Ujumbe utafika. Kuna maeneo ya wazi watu waweke TV kubwa, mikoani nashauri hivyo hivyo, kama kuna uwezekano wa kuweka TV kubwa kwenye maeneo ya wazi mikoani wekeni hiyo kazi ya wagombea ubunge na udiwani kumobilize inshu.
hisia zangu ndizo zilizoleta hii taarifa hapo chini. sasa wewe endelea kuota kuwa sisiemu itaendelea kuwepo juu ya uso wa nchi.Duh kweli umedhihirisha kuwa watanzania hawana akili maana mpaka watangaziwe ilhali uhalisi wanauona. Nimeipenda sana hii habari safi sana mkuu maana hata wewe unahisi tu kama wanavyohisi wengine Chadema watashinda Urahisi.
:thumb:Kwa taarifa rasmi nilizozipata : Mgao wa Umeme wa 16hrs per day upo karibu : Yale "mabwawa" yanakaribia kukauka!