Mgao wa umeme tanzania

Mgao wa umeme tanzania

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,296
Reaction score
1,952
kwa hali hii ya mgao usio na kicha wala mkia katika nchi yetu.kwa nini basi tusikubali tu tutangaze km ni kivutio cha utalii.naona tutapata mkwanja wa nguvu kufidia wale twiga wa loliondo.
nawasilisha bajameni
 
yan unaakili wewe ile mbaya mana nilikuwa ninafikiria hvyo hvyo kuishaur selikar ya CCM kwel mana MGAO WA UMEME Tanzania tunaweza kufanya moja ya utalii kwel kabisa upo sawa saf sana wazo zur sana
 
Ama ikawa kwenye maajabu 7 ya dunia ukapigiwa kura...Tz,xtra ordinary country.
 
Hae! Umenikumbusha mwaka jana jk alienda marekani akaona jenga halina umeme akacheka akamwuliza obama kumbe hata nyie mna mgao wa umeme. Obama akamwambia huo ni ubalozi wa tanzania, jk akachoka. Inaonekana ubalozi wa tz kule ni kivutio kwa wamarekani. Naunga hoja. Haa haa!
 
Back
Top Bottom