Mgao wa umeme mikoa mbalimbali

Mgao wa umeme mikoa mbalimbali

Endeleeni kuisoma namba kwanza! Baada ya uchaguzi ndo mtafikiriwa!
 
Kwasasa Boss mpya anawekeza zaidi kwa wapigakura wake...nyie fisi wa arusha subirini mpaka munguwenu rowasa awe rais
 
Jembe muhongo atamaliza matatizo yote, Tanesco wanafanya hivyo ili wapelekewe rushwa siku Zao zinahesabika,Tuanamalizia TRA tunakuja kuwashika watanyooka tu.
 
Nadhani serikali ya Majimbo wenye utawala kamili unatakiwa kwa staili hii ya Serikali kama huo mgao ni wa makusudi
 
Kwasasa Boss mpya anawekeza zaidi kwa wapigakura wake...nyie fisi wa arusha subirini mpaka munguwenu rowasa awe rais
Dah yaani mamaako kakurithisha akili za maiti mwanae asee,ivi unaliwa na mboga gani siku izi we mkundugu angu
 
Arusha ni shiida nimekuja mbeya maramoja nina wiki hapa umeme haujakatika maeneo niliopo..
 
Yaaan wanakata tu na taarifa hawatoi. Na yule jamaa kashapewa hii wzara kyanan.
 
Tanesco dodoma acheni kutudharau wananchi wa CHAMWINO takribani wiki sasa ikifika mida ya saa kumi na moja na nusu asubuhi mnatukatia umeme mpaka saa moja jioni na tatizo hamsemi kama ni mgao tujue kama nimatengenezo tujue na matengenezo gani yanachukua wiki nzima?kama ni mgao kwanini mtupe usiku ina Maana utumulikie kwenda chooni tu? Tupeni umeme mchana bana tuufanyie kazi mnakera sana.
 
Huko Ni Ikulu Ya Mangufuli
 
Kama jana wameukata saa kumi na mbili asubuhi wameurudisha saa nne usiku na leo tangia saa kumi wameshaukata,mi nadhani tufanye kitu wana Arusha hii sasa ni more than too much
 
Kwa TANESCO kukaa kimya naamini lwamba huu mgao Arusha ni wa kutengeneza, Sijawahi sikia viongozi wa TANESCO wakizungumzia huu mgao,
kwa staili hii TANZANIA YA VIWANDA LABDA KIZAZI CHA 10 KUTOKA SASA.

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Maelezo kuhusu Hali ya Umeme kwa baafhi ya Maeneo Mkoa wa Arusha.

Shirika la Umeme linapenda kueleza kile kinachoendelea mkoani Arusha kama ifutavyo; Eneo la Olasiva, Kwa kuanzia tunamalizia, mradi wa Olasiti Meckson school wiki hii. Hivyo wateja wa eneo Hilo watapata umeme mzuri. Pia miradi wa Sanawari Kati na shangalai uko kwenye hatua za mwisho kufikia tarehe 15.12.2015 itakuwa imekamilika. Mradi wa kuboresha, huduma Olasiva uko 40% hivyo mwisho wa mwezi huu, tunaimani kuukamilisha.
Kumalizika kwa miradi hapo juu ambayo tayari imeanza, ulitatupa nafasi kuanza miradi ya Olasiti Kati, Ngaramtoni, na Engosheratoni. Ni matumaini ya mkoa tatizo la umeme mdogo litakuwa historia ndani ya miezi mitatu ijayo. Asante.
 
Back
Top Bottom