Bigjahman
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 900
- 512
IV mbn kama serikal imeshafail?jana wameurudisha saa nane usiku na saiz saa 2 wameshaukata yaan utasema hamna serikali watu wanajifanyia tu wanavyotaka mi nimechoka hii hali uvumilivu una kimono bana ccm wanatuchukulia poa sana wadanganyika huku wap wakipiga ela mingi na maisha poa sana yako kwao tuu sisi hatustahili