Mgao wa maji Dar: Hotel ya Sea Cliff yawaonya wateja wake

Naona kama ni message flani kwa uongozi maana hiyo hotel ina wageni wangap waone hilo tangazo. Aibu aibu miaka 60 ya uhuru bado tunalilia maji na umeme
 
Hawawezi kuwa serious! Wangechimba visima wakaweka mtambo mkubwa wa reverse osmosis hata wa 50M tu maji yanatoka baridi kama ya mvua tu!

Wanapump maji yanapenya kwenye filters yanatoka baridi safi kabisa. Ningekuwa na mtaji ningetafta mafundi nikaagiza mitambo hii na kuwafungia raia wanaoteseka na visima vya chumvi kupata maji safi.

Hela ingepatikana na kuachana na hawa wapuuzi wa dawasco. Hela ya bills bora kununulia luku ya kupandisha maji
Kwakweli hata mimi nimejiuliza au hiyo barua wameandikiwa??
 
Sasa hebu niambie Mtalii kasevu Dola zake, ili aje ajiachie kanunua na Boksi lake la Condom na Viagra zake anakuja anakuta Maji hakuna, hivi huyo atarudi tena.

Serikali iwaambie wale wanaowekeza kwenye sekta ya Utalii kuwa ni lazima kuwa na Maji ya dharura.

Mbona huko Mbugani kweny vile Vilodge Maji ya ardhini yapo.
 
AIBU AIBU AIBU,hotel watu wanalipa dollar hawana hazina ya maji wanategemea dawasco?

Sasa ndio naelewa yule jamaa alivyoniambia Tanzania hamna 5 star hotel, ni ukanja njaa tuuu... now i know
 
AIBU AIBU AIBU,hotel watu wanalipa dollar hawana hazina ya maji wanategemea dawasco?

Sasa ndio naelewa yule jamaa alivyoniambia Tanzania hamna 5 star hotel, ni ukanja njaa tuuu... now i know
Acha kutetea ujinga
 
Back
Top Bottom