mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nimekuwa nafuatilia suala la Fedha za ESCROW. Hivi majuzi Mamlaka ya Mapato nchini TRA imemtaka aliyekuwa Waziri wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka alipe Kodi ya fedha alizopewa Na Rugemalila.Watu waliopewa fedha hizo ni watu wengi lakini inashangaza kuona anayetakiwa kulipa Kodi ni Mmoja.Tunaitaka TRA iwatake wahusika wote Na mgao huo walipe kodi kwani no fedha za Umma.