<br />Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
Huu sio uhuru wa mawazo ila ni upumbavu unaofanya.Usidhani JF ni ya watoto wadogo kama hauna cha maana kuandika si uacheSidhani kama kuna mgawo tatizo lenu hamjalipa bili za Tanesco mnazodaiwa mnasingia mgawo !!!
Nasikia Mwanza leo siku ya nne hamna umeme!
Ndio ukweli watu wana madeni kibao ya Tanesco, unategemea umeme wapewe bure, hakuna ! ni bora wakatiwe tu
Huna uhakika umeisha sema unaskia,tafuta ukweli kwanza ! mgawo uliisha isha !
Huna uhakika umeisha sema unaskia, tafuta ukweli kwanza ! mgawo uliisha isha !
Afadhali ninyi wanawapa baada ya masaa 12 kuna maeneo huko kanda ya ziwa wanalia hawajauona leo ni siku ya tatu. Halafu ninyi mnamlaumu Ngeleja wakati mnapata 'baada ya masaa machache tu!'Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
Ni vizuri ungeweka wazi kuhusu interest zako badala ya kupinga kila hoja kinzani
<br />Nasikia Mwanza leo siku ya nne hamna umeme!
<br />Serikali ya CCM imewadekeza sana nyinyi, hata ninyi wa kijitonyama mnataka umeme? ili mfanyie nini kwa mfano? Haya madai kuna siku watu wa mbagara charambe nao watadai taa za bara barani kama wa magomeni.
Ndio ukweli watu wana madeni kibao ya Tanesco, unategemea umeme wapewe bure, hakuna ! ni bora wakatiwe tu
tumezoea shida watz!Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
Nyie hamjui mchezo wa Tanesco. Wanapiga mgao mikoa ABC huku wakitoa umeme masaa tele kwa mikoa XYZ, baadaye wanageuza kibao kwa kutoa mgao kwa mikoa XYZ huku wakitoa umeme masaa kibao kwa mikoa ABC. Hii inapunguza kunung'unika, maana wadanganyika ni wasahaulifu sana!!!Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
<br /><font color="#a52a2a"><b>Huna uhakika umeisha sema unaskia,tafuta ukweli kwanza ! mgawo uliisha isha !</b></font>
Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
tatizo lako unataka utukanwe. watu masaa 24 majenereta yananguruma we unasema mgawo umeisha. ukitukaniwa mama yako ni haki yako kabisa.Huna uhakika umeisha sema unaskia,tafuta ukweli kwanza ! mgawo uliisha isha !