Walikuwa wanakula mingo waipitishe bajeti yao naada ya kupita na Mhe Zitto Zuberi Kabwe kuisifia ref; Mwananchi la juzi wameamua kufanya kweli sasa najiuliza inakuwaje ina maana hata zile bahasha za khaki zilifika kwa wapambanaji kiasi mpaka wasione ubovu wa bajeti na kuwa ni danganya toto au makamanda wetu hawana uweledi wa kutosha kuona blah blah na ukweli?
Ifike mahali haya maswala tuyaamue wenyewe tusiwategemee wanasiasa kwani wao ndio wametufikisha hapa tulipo!