Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

IMG-20200124-WA0000.jpg
 
Ni ukweli mkuu. Halafu sio Malaya wala mashangingi. Wadada wengi wenye majina hayo wanakuwaga kizazi Sana. And most of the time , Samyra is the best of all
Mmmmh!! Ninaowafahamu mimi mbona hawafit kwa hizi sifa
Mwanafunzi wangu Samira alikuwa balaa yule mtoto akaacha shule akiwa kdt ch 3. Au ndio exceptions!!!
 
Hamida mwana hamu,amempa utamu!
Hamida binti utamu,amemtoa haramu!
Hamida ajitwaza,kambare kumgaragaza!

Hamida msirisiri,kambare msitiri
Asije lukwa na akili,akashindwa kufikiri

Hamida twakuogopa,Kama mwana mboka!
Kambare vimemtoka,asilani amechoka!

Hamida una nini wewe,kambare kumuacha mwewe!
Hamida nini upewe,urudi kwa mwenyewe?

Itunze hiyo siri,isifike msisiri
Itunze iwe Siri, wanaume utusitiri!

Tutakupa unachotaka,hata dunia utapata
Sema unachotaka,usije kuwapa walaka!

Walaka wasipewe,tusije tapatapa
Sote kama kambare,sakafu kulisakata😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom