Mganga na popo bawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mganga na popo bawa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, May 25, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,210
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  palikua na mabishano juu ya uganga feki alionao mganga mmoja mgeni hapo kijijini!!Wazee wakisema huyu ndo mganga wa ukweli, lakini kijana mmoja alisisitiza hapana huyu ni tapeli tu!
  Wazee walimmaindi kijana wakamtaka athibitishe kauli yake, na mzee mmoja aliahidi kumpa binti yake kigori kama angeweza kuthibitisha,kijana alikosa la kujibu!
  Teja mmoja alikua pembeni baada ya kuona mzee kamweka bondi binti yake, nayeye hana sifa nzuri hapo kitaani. Teja akaomba apewe yeye hiyo kazi ya kuthibitishia mbona jambo dogo tu!

  Jioni yake Teja alienda kwa yule mganga!
  TEJA: Mganga mi nimetokea kijiji cha pili hapo,kuna jirani yetu anatabia ya upopo bawa halafu anatamba kuwa leo anakuja kwangu na hakuna mganga wa kumzuia,na ikitokea mganga akazuia basi kesho yake mganga huyo lazima apitiwe yeye!
  Mganga akampa dawa na kumuhakikishia hakuna kibaya kitakacho tokea!
  Kesho asubuhi yule teja aliwakusanya wale wazee wakaenda mpaka nyumbani kwa mganga!
  Walipofika mlangoni wakakuta kibao kimeandikwa.
  MGANGA AMEHAMA
  yule mzee alizimia.
   
 2. banambavu

  banambavu Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  A priest offered a Nun a lift. She got in and crossed her legs, forcing her gown to reveal a leg. The priest nearly had an accident. After controlling the car, he stealthily slid his hand up her leg. The nun said, 'Father, remember Psalm 129?' The priest removed his hand. But, changing gears, he let his hand slide up her leg again. The nun once again said, 'Father, remember Psalm 129?' The priest apologized 'Sorry sister but the fleshis weak.' Arriving at the convent, the nunsighed heavily and went on her way. On his arrival at the church, the priest rushed to look up Psalm 129. It said, 'Go forth and seek, further up, you will find glory.' Moral of the story: If you are not well informed in your enviroment, you might miss a great opportunity.
   
 3. S

  Safhat JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm ningejifanya nimekufa maana kumuozesha mwanangu m2 mlev noma.
   
Loading...