"Kwa nia ya kusafiri nje ya nchi"
Kwa wadau wa barakoa, mnaonaje hapa?View attachment 1659504
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi https://t.co/zz8C1ZZ6JP
Uliza wanakopimia utapata majibu sahihiNimeona niuulize kupitia hapa.Nikipima COVID-19 dar au popote majibu yanatoka baada ya muda gani?
Sasa hao si wanatakiwa kuja na certificate za majibu ya covid kbs au?sio mimi ni mgeni wangu anakuja kutoka nje yeye alifikiri akija tu airport anawekwa karantini nikamuambia sisi kwetu hatujui hicho kitu ndio maana nikaona niingie humu wandugu mnisaidie mimi niko mikoani
Usihangaike kwenda kwenye hizo hospital nenda tu direct mahabara kuu ya Taifa,wapo karibu na TFDA.Hakikisha umevaa barakoa na passport yako. Hapo utapata majibu yako kwa uhakika bila usumbufu. Bei ya kupima ni dola mia kwa sasa.Hivi hii hospital ya agha khan bado inapima corona?
Na ni sh ngapi za kitanzania?
Kwa mwenye uelewa plz.
Mgeni anayeingia Tanzania kupima ni hiari yake
Najuwa mkuu,,ila nilitaka kujuwa kuhusu agha khan hospital kama gharama zao bado zile zile 75000 Tz shillings au now ni $100 ? Kama serikali ilivyoamuru?Usihangaike kwenda kwenye hizo hospital nenda tu direct mahabara kuu ya Taifa,wapo karibu na TFDA.Hakikisha umevaa barakoa na passport yako. Hapo utapata majibu yako kwa uhakika bila usumbufu. Bei ya kupima ni dola mia kwa sasa.
Aga khan ni shs 370,000 kupimaHivi hii hospital ya agha khan bado inapima corona?
Na ni sh ngapi za kitanzania?
Kwa mwenye uelewa plz.
Una uhakika mkuu?Aga khan ni shs 370,000 kupima
Piga simu uhakikishe mwenyewe.Una uhakika mkuu?