Mganga ajulikana kuwa na wake watatu baada ya kifo

mtengwa

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,600
847
Habari wanajamvi,

kuna mganga jirani yangu amefariki gafla.

Utata umekuja kwenye msiba hapa ambapo mke wa mganga amestaajabu na kuzimia mara kwa mara baada ya wanawake watatu tofauti abao huyo mke wa mganga hakua anawajua wamekuja kila mtu na kwa muda wake na kuanza kumlilia mganga kwa kumtaja as mme wao.

Wengine wana watoto wamefanana na marehemu kiasi kwamba hauwezi kumkataa kama si mtoto wa mganga.

Kuna tetesi hapa kua wengine wawili wanakuja na watoto waliozaa na mganga.

Marehemu kaacha mengi yaliyokua siri yake sasa ndo yanajulikana.
 
Walikutana kimjini mjini' wakaishi kimjini mjini' na mwisho wameachana kimjini mjini!!

R.I.P mganga! Hawa waliobaki wanakulilia watayajenga tu, na yataisha!
 
Wito kwa wale wenye watoto nje ya ndoa ni kuweka wazi kwa Mwezio kuliko kukaa kimiya.
 
Labda walienda kutafuta watoto walikuwa hawazai akawaambia azini nao ndo masharti ya dawa ili ifanye kazi,kwa waganga yako mengi yamefichika,kama una mke anapenda kwenda kwa waganga shituka leo chukua hatua.
 
Habari wanajamvi, kuna mganga jirani yangu amefariki gafla. Utata umekuja kwenye msiba hapa ambapo mke wa mganga amestaajabu na kuzimia mara kwa mara baada ya wanawake watatu tofauti abao huyo mke wa mganga hakua anawajua wamekuja kila mtu na kwa muda wake na kuanza kumlilia mganga kwa kumtaja as mme wao, wengine wana watoto wamefanana na marehemu kiasi kwamba hauwezi kumkataa kama si mtoto wa mganga. Kuna tetesi hapa kua wengine wawili wanakuja na watoto waliozaa na mganga. Marehemu kaacha mengi yaliyokua siri yake sasa ndo yanajulikana.
Huyo ndiye mwanaume wa kweli...
 
vi mganga alikuwa hatumii zana eeeh....noma sanaaaaa
Habari wanajamvi, kuna mganga jirani yangu amefariki gafla. Utata umekuja kwenye msiba hapa ambapo mke wa mganga amestaajabu na kuzimia mara kwa mara baada ya wanawake watatu tofauti abao huyo mke wa mganga hakua anawajua wamekuja kila mtu na kwa muda wake na kuanza kumlilia mganga kwa kumtaja as mme wao, wengine wana watoto wamefanana na marehemu kiasi kwamba hauwezi kumkataa kama si mtoto wa mganga. Kuna tetesi hapa kua wengine wawili wanakuja na watoto waliozaa na mganga. Marehemu kaacha mengi yaliyokua siri yake sasa ndo yanajulikana.
 
Labda walienda kutafuta watoto walikuwa hawazai akawaambia azini nao ndo masharti ya dawa ili ifanye kazi,kwa waganga yako mengi yamefichika,kama una mke anapenda kwenda kwa waganga shituka leo chukua hatua.

Inasemekana alikua anaoa sehemu anazoenda kutafuta dawa au kumtibia mtu, huko anakaa mwezi au wiki mbili. Na sheria za kiislamu kuoa hakuna process sana, so jamaa akawa anaoa anawapangia chumba. Hivyo siku nyingine anaaga anaenda kwenye kazi anakaa mwezi kumbe yuko kwa mke mdogo
 
Yaonyesha huyo mganga kila mwanamke aliyekuwa anakwenda kwake anagegeda.
 
Waganga waongo teh
kuna kijirani changu kibabu hivi
eti nacho ni kiganga, kinatibu ndani ra land rover mbovu, huo msululu wa wanawake wanaoijia dawa sasa duh!
hadi wahindi wapo, njia yake ya kutibu sasa.....ha ha ha ngoja niuchune tu!!!
 
^^
Mganga wa nini?
R.I.P
Back to topic
Haya mambo ya watoto kujulikana baada ya kifo yalikuwepo tangu enzi wapo wakweli wapo waongo.
^^
 
Wito kwa wale wenye watoto nje ya ndoa ni kuweka wazi kwa Mwezio kuliko kukaa kimiya.

Yaani hakuna kitu kinaniboa km hiki
Wanawake tubadirike jamani, unapozaa na mume wa mtu jua unaipa tabu familia yake jamani
 
Back
Top Bottom