Huwa nawashangaa sana watu wenye kauli kama zako...hvi kama hujapendezwa na BBA na mapenzi yako kwenye ze comedy au futuhi au episode zingine kwako zinaoonekana kuwa na maadili..hulazimishwi kuangalia..BTW package ya BBA ipo kwenye premium so kama huitaji hulazimishwi kuliipia.Najua mapenzi ya njiwa yapo kwenye mipasho ya mzee yusuph na watu tunatofautiana sana utashi wa kupenda vitu.
Kama huipendi Ipotezeeeee...wanasema ukifanya biashara ya utumbo usiogope nzi!!
Hulka za watu zipo tofauti ndo maana haya hutokea na watu wengi wanashindwa kuzuia rangi zao halisi pale gambe linapochukua nafasi yake..hapo ndo rangi halisi ya mshiriki huonekana..Mifano hai imeonekana kwa K1...yacob etc nahisi Lera alikuwa kwenye siku mbaya ndo mana akawa mkali na matusi kumtoka pasipo breki mdomoni
Acha tu. Siku hizi ukisema unaonekana umepitwa na wakati. Mi nadhani.... I'm sorry.... Kizazi cha sasa, Africa na Tanzania hata kama Big Bro iko Ulaya, kimejawa na ujinga wa kupindukia. Big Bro haina chochote inachoongeza kwa mtu achilia mbali burudani yenyewe. Vitoto siku hizi vinapenda mambo ya akili kidogo, chipsi kuku!!! taabu tupu. Sasa BBA ina kitu gani cha maana. Ah, hata nikishambuliwa hapa sijibu hoja maana ndo kupoteza muda kwenye mambo ya kijinga.
May b u r watching things in three blind dimensions.Hujalazimishwa kuchangia huku kuna thread nyingi sana kama una mapenzi nathread yako ya Quaran anzisha tu mods wataweka sehemu maalum ya mambo ya dini.Usiingie choo cha wanaume wakati huna uume