Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa



John John Mnyika
 

Hoja zenu hizi za kuokoteza ni shida sana mnajifanya watabiri.
Toa upuuzi wenu huko.
 

Wamekuwa wakitamka mara nyingi kwenye mikutano yao viongozi wa juu cdm hasa Mbowe kuwa ndani ya chadema hawataki mtu mnene kwa kuwa wao ni kazi tu na mnene kwao ni mzembe na mwizi. Cheki Msindai sasa!
 
unafikiri Prof. Lipumba aliposema mwaka huu kuna wagombea wawili wa CCM alikosea? mtaelewa tu maana akili zenu ndogo zinaelewa taratibu.

Sasa kama Lowasa naye ni mgombea wa CCM aliyeko Ukawa mbona huko CCM hamlali ni matusi,kejeli na kashfa kwa huyu mgombea wenu Lowasa aliyeko Ukawa? Kuwa na wagombe wawili ndio heri kwa chama kama vile mlivyoweka wagombea Ubunge kule Nanyamba Mtwara ambapo yule mwingine akaamua kutorudisha fomu ili kuwapunguzia kazi.
Mkubali tuu kuwa mwaka huu mmezidiwa ujanja tuu
 

Mnyika ndiyo wa kumudu nafasi hiyo
 
tunaendelea kukusanya maoni na kuyapeleka kwa wahusika!
 
huo ni mtizamo wako. nani kakuambia kuwa ccm hawalali? binafsi hainihusu hiyo ninachotaka ni kiongozi bora. hata hivyo hali ya mgombea wenu inaendeleaje? mbona watu wanamtabiria vingine humu mitandaoni?


 
Ni shida mwaka huu tutasikia mengi hata yaliofichwa chini ya kapeti tutayajua.
 
Khaa..!
Mbona mnene sana.ataweza kweli..mchakamchaka chinja ...huyu ?
 
Hapa ishu ni kuitoa ccm madarakani, mambo ya katibu baadaye
 
CCM wanahhaha kama kuku wanaotaka kutaga... Jielezeni kwa Watanzania kuwa mmewafanyia nini so far Zaidi ya kuwatesa kwa maisha magumu katika ardhi yao iliyojaa neema lukuki za allah S.W.T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…