Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa


Mkuu je wasio na Chama,na Chama chako cha Awali wote hawajakufuata?
Ahsante kwa Taarifa Mkuu!
 

source ya taarifa yako pls
 
Yanga SC imeishinda Azam FC kwa penati 8 kwa 7, una habari?

Na kule England ktk Premier League, Man U 0 na Newcastle U 0!!
 
Hakuna nafasi ya Zumbe Msindai kukamata nafasi kubwa kama hiyo, haiwezi na hasa kwa CHADEMA, na wala hataiweza hata kama akipewa.
 

Naona kuna kampeni za kumfanya Dr.Slaa aongee kwa lazima.

Mnamlisha maneno na kumtungia uongo mchana kweupe,ili mradi mmchokonoe aseme kwa faida yenu.

Dr Slaa sio wa kusombwa na mafuriko.!
 
hii tumbotele nyumbu kufuata malisho ndio unalinganisha na dr. slaa?
 

Subiri yatokee ndio tutasema vinginevyo ni uzushi tu
 
Pilipili iko Shamba we yakuwashia nini? Huyo Silaa kajiuzulu lini?
 
unafikiri Prof. Lipumba aliposema mwaka huu kuna wagombea wawili wa CCM alikosea? mtaelewa tu maana akili zenu ndogo zinaelewa taratibu.
 
na baada ya uchaguzi,washinde ukawa,wasishinde,mbowe itabidi ampishe lowasa katika nafasi ya uenyekiti

kwa nguvu alizonazo sasa ndani ya chadema hilo halina mjadala na hakuna anaeweza kumzuia tena ndani ya chadema,ameshaishika,anaweza kumfukuza hata mbowe now akiamua
 
Kwa CCM Ukawa Msindai anafaa sanaaa! Amepita bila kupingwa. Huyu Salum Mwalimu kwanza ni nani? Atamwambia nini Msindai au Mgeja? Hebu acheni wachukue chama alichonunua bosi wao. Nawasifu kwa kuigeuza ndani ya siku 24 Chadema kuwa CCM B.
 
fake fake..hii sio lugha wala mtindo wa kuandika wa dr. slaa
 
Ukatibu mkuu sio kama Uclass monitor jamani
 
Ningekua mimi huyu HAMIS MGEJA aliyekua mwenyekiti wa ccm shinyanga,angefaa angalau sema tatizo tundu lissu na wenzake watakubali?lakini hamis yuko vizuri kuliko mgana

 
He is too obese, hivyo kweli Chadema inaweza kumlisha na kulishibisha hilo joto kwa ruzuku ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…