Mfupa uliomshianda fisi mbwa atauweza?

Mfupa uliomshianda fisi mbwa atauweza?

Nijuavyo mimi mwanaume aliyetimia huwa anakosea tu kwenye kupunguza na kupooza njaa ya kichwa cha chini lakini sio kwenye kuoa.

Hiyo nyumba unayoishi naye ni umepanga au unaimiliki? Kuna jambo la muhimu mno la kukushauri baada ya jibu la hii
 
Tatizo kubwa ni mazoea ya kulala na K na kuigida kiroho mbaya (kwa waliooa). Ingawa baada ya muda wanawake huwa wanajisahau hasa baada ya kuzaa watoto wawili au watatu. Attention yote kwa watoto na unaanza kupewa K ya mgao. Hapo kitakachookoa ndoa ni mchepuko (hasa kwa sasa ambapo Ukimwi umetamalaki na machangu wanaogopwa kama ukoma). Uwe na jumapili njema nawe inawezekana ukawa ni shokoabusoba ya ndoa x
hahahahhhh
 
Brother sasa hivi ndiyo naamini kuwa fimbo iliyovunjika imevunjika tu hata kama utaiunganisha haiwezi kuwa imara kama mwanzoni. Nikimaanisha aliyeachika hata akienda kwa mwanaume au mwanamke mwingine siyo rahisi kudumisha uhusiano.
Inategemea aliyeacha na kuachwa. Kama mwanaume alikuwa tatizo, ukimuoa aliyeamua kubwaga manyanga hutojutia ila kama yeye mwanamke alikuwa chanzo, hapo hata uzikili uchi habadiliko
 
Tatizo kubwa ni mazoea ya kulala na K na kuigida kiroho mbaya (kwa waliooa). Ingawa baada ya muda wanawake huwa wanajisahau hasa baada ya kuzaa watoto wawili au watatu. Attention yote kwa watoto na unaanza kupewa K ya mgao. Hapo kitakachookoa ndoa ni mchepuko (hasa kwa sasa ambapo Ukimwi umetamalaki na machangu wanaogopwa kama ukoma). Uwe na jumapili njema nawe inawezekana ukawa ni shokoabusoba ya ndoa x
Mi sitembei na wenye ndoa kila mtu apambane na chaguo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo mimi mwanaume aliyetimia huwa anakosea tu kwenye kupunguza na kupooza njaa ya kichwa cha chini lakini sio kwenye kuoa.

Hiyo nyumba unayoishi naye ni umepanga au unaimiliki? Kuna jambo la muhimu mno la kukushauri baada ya jibu la hii
Kwenye kamjengo kangu wa kawaida tu japo si haba.
 
Brother sasa hivi ndiyo naamini kuwa fimbo iliyovunjika imevunjika tu hata kama utaiunganisha haiwezi kuwa imara kama mwanzoni. Nikimaanisha aliyeachika hata akienda kwa mwanaume au mwanamke mwingine siyo rahisi kudumisha uhusiano.
100% per cent muombe mungu akupe.mwanamke mwema wa maisha yako hata kama.watasema hawapo ila wapo tu wengi ,na pia aliuza gar lako kwa maksudi ili akukomoe na sio kuogeza pesa ya kununua gari,pia hata kama.mwanamke ni mrembo kiasi gani wote njia moja tutarejea tulipotoka mavumbini,utu ni kitu vhamsingi kama angekuwa mwanaume mwengine angekuwa kashaua maana sio kwa mambo aliyokufanyia,na pia inawezekana huyo mwanamke akawa na mapepo ,na pia kila mwanamke mrembi anakuwa na mapungufu yake kiakil,kiutu .mungu akubariki sana kwa kuwa mvumilivu haya unayosimulia kaka yangu kayapitia ila hajamuachamaana wametoka mbali tangu nikiwa mim mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother sasa hivi ndiyo naamini kuwa fimbo iliyovunjika imevunjika tu hata kama utaiunganisha haiwezi kuwa imara kama mwanzoni. Nikimaanisha aliyeachika hata akienda kwa mwanaume au mwanamke mwingine siyo rahisi kudumisha uhusiano.
Ila Mkuu Mimi ukinipa vitz nakuogesha kabisa kila siku. Hebu niambie unasajili lini tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana ndiyo ready made man ambao wana pesa na vitu wanavyopenda wanawake. Ni mara chache sana kumkuta single yuko vizuri wengi wao njaa kali sana.
Hela zinatafutwa tu Mkuu tena Mimi nataka mtu tuanze hata kulala chini .tatizo vijana hawatulii.hawezi kutulia mkafanya maisha wao ni kuwaza chini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kamjengo kangu wa kawaida tu japo si haba.
Umeingiza jinamizi la mikosi ndani kwako ndugu- unahitaji kuisafisha nyumba yako vinginevyo utajichukia vibaya sana

Isingekuwa kwako ningekushauri uhame kbs

Najua kama mtu mzima, mwanaume(sio mvulana) umenielewa
 
Back
Top Bottom