Mfupa uliomshianda fisi mbwa atauweza?

Mfupa uliomshianda fisi mbwa atauweza?

We una moyo wa ajabu sana ...anakupa nini cha ziada zaidi ya hizo kero kiasi umvumilie tu.......me ni mwanamke lakini mpuuzi kama huyo ingekua ni Mimi ningeshakua nimemuacha zamaniiiii ....kwanza kitendo cha kutokwambia ukweli kwamba ana watoto mpaka ulipogundua mwenyew...ilitosha kujiridhisha kua hafai kua mke....kama aliweza kudanganya hilo atashindwaje kudanganya mengine na mengine.....baba hongera umevumilia haswaa sema inatosha atakuua huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela zinatafutwa tu Mkuu tena Mimi nataka mtu tuanze hata kulala chini .tatizo vijana hawatulii.hawezi kutulia mkafanya maisha wao ni kuwaza chini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nyie ndiyo tatizo kubwa sana maana naweza tulia ila sasa nyie wanawake mna tamaa sana leo utamuona rafiki yako ana nguo ya laki tano na wigi la m1 utaingiwa na tamaa utaanza kuleta fujo ili uvuruge uhusiano uende kwa ready made man ambaye anaweza kuku-accommodate hayo yote.
 
Si kweli.hampendi kuwa na humble beginning.hampo wawazi.unakuta unadate wasichana kibao .so mtu anakosa security anaona akuchune tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa uvumilivu

Hadi hapo huyo mwanamke hakufai...mwanamke asiejua kuvumilia shida..asieridhika na kidogo akipatacho huyo hana tofauti na mdangaji

Sasa kama umeamua kumvumilia vumilia tu ila ujue yajayo yatakufurahisha sana

Achana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We una moyo wa ajabu sana ...anakupa nini cha ziada zaidi ya hizo kero kiasi umvumilie tu.......me ni mwanamke lakini mpuuzi kama huyo ingekua ni Mimi ningeshakua nimemuacha zamaniiiii ....kwanza kitendo cha kutokwambia ukweli kwamba ana watoto mpaka ulipogundua mwenyew...ilitosha kujiridhisha kua hafai kua mke....kama aliweza kudanganya hilo atashindwaje kudanganya mengine na mengine.....baba hongera umevumilia haswaa sema inatosha atakuua huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhhhh
 
Ukiruhusu kuonewa utaonewa,ukiruhusu ujinga utafanyiwa ujinga.USIRUHUSU,mwanaume unatakiwa uwe na principles na mipaka na lazima uilinde na kuiheshimu mipaka na principles zako na kila unayedeal naye azifahamu na USIRUHUSU mtu yoyotea akupande kichwani ama kukupangia namna ya kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna mambo mawili au matatu ambayo nimeyahisi kutoka kwenye story yako na mambo yenyewe ni haya;
1.Huenda ni story ya kweli,na kama yote uliyoyasimulia ni ya kweli basi wewe ndyo mwenye makosa na siyo huyo mwanamke kwa kuwa hata Biblia inasema "ewe mkristo uwe na kiasi katika mambo yako yote uyafanyayo"
Naona hauna kiasi
2.Umeamua kutafuta mke hapa Jamii forum kwa njia zisizo za moja kwa moja kwa kuwa unajua kwa maelezo uliyoyatoa yanaonyesha kuwa wewe ni mtu mwenye maisha mazuri na wanawake wanahitaji watu wenye maisha mazuri au fedha kama kinga kwao so,unajua kuwa utawapata tu...yote kwa yote nakupongeza kwa uvumilivu huo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeona mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli.hampendi kuwa na humble beginning.hampo wawazi.unakuta unadate wasichana kibao .so mtu anakosa security anaona akuchune tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua tatizo lako ni nini. sasa ukitaka kuenjoy maisha date na vijana kuanzia 28 hapo utaenjoy sana kwa sababu huyo huwa anawaza sana kuhusu maisha na siyo kuwa na wanawake wengi hivyo huwa anapunguza na kubaki wa kufanya nae maisha. Naamini utakubaliana na mimi. ukiona mtu ana 28 anahangaika na visichana huyo hajielewi.
 
We shangaa tu...si unaona gari imeuzwa? Atatafuta hati ya nyumba atauza pia....ili usimkere atakuwekea sumu utakufa na game itakua over.......sisi wanawake akili zetu mda mwingine tunazijua wenyewe shauri yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri sana mdogo wangu. kwanini wanawake huwa hamridhiki?
 
Nimegundua tatizo lako ni nini. sasa ukitaka kuenjoy maisha date na vijana kuanzia 28 hapo utaenjoy sana kwa sababu huyo huwa anawaza sana kuhusu maisha na siyo kuwa na wanawake wengi hivyo huwa anapunguza na kubaki wa kufanya nae maisha. Naamini utakubaliana na mimi. ukiona mtu ana 28 anahangaika na visichana huyo hajielewi.
Kwani nadate wa umri gani? Na Mimi unajua Nina umri gani? Wanaume ni wabinafsi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom