Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

gspain nimeitoa mifano Hiyo ya "ujasiriamali" according to the way its perceived na vijana wengi.

We nenda kwenye mojawapo ya zile semina zao, utaelewa Kwanini nimetoa hiyo mfano ya aina Hiyo.
 
Narudia tena kusema, Ninyi vijana sijui wazee ambao kila siku mnawadanganya watu kuhusu kujiari Mungu anaona.

Ni kweli ajira imekuwa ngumu sana lkn ninyi wenye hiyo nafasi ya kutengeza ajira(mliyojiari) mngekuwa mnakuja hapa na kutangaza ajira mpya ili sisi ambao tunategemea kuajiriwa tuje kuwafanyia kazi. Yani sema kweli wote mnosema kuwa mmejiari inawezekana kabisa mnauza ata duka tu. Kitu ambacho ni cha kawaida sana

Binafsi mimi nauza dagaa ila kitaaluma ni mwalimu lkn mi siwezi kujisifia kuwa nimejiajiri kwa sababu nafanya vitu ambavyo n cha kawaida sana. Ninyi ambao mnasema mnatatua matatizo mbona hatujawahi waona hata kwenye vyombo vya habari. Tusiwe tunadanganya hapa JF.

Nakubali kuwa Africa fursa bado zipo nyingi sana lkn n kwa ambao tayari wana msingi CAPITAL. Angalia akina Mengi walianza kuajiriwa ndipo wakapata mtaji. Mtaji ni tatizo kwa vijana yani tusema yote lkn Capital n tatizo kwa vijana wengi. Imagine umesoma afu unafanya kazi ambayo ipo nje ya taaluma yako kisa upate mtaji tu. Tusiwabeze sana vijana ila ukijituma huo mtaji utaupata lkn pia umuamini Mungu
 
Mkuu hongera sana mm nina kadiploma kangu nimeishia hapohapo sitaki ujinga tangu nimesoma kitabu cha RICH DAD AND POOR DAD cha ROBERT KIYOSAKI nimeshangaa ulimwengu umebadilika kwa sasa nina NGO yangu ni mkulima,self taught programmer,nasaka madini,nina project ya kujenga nyumba kutumia container (on process) na pia nina business idea ya sunflower oil now nimashine ya kukamua mafuta naanda pesa ya kuvuta.
nilikuwa nacheki interview ya Aliko dangote na aljazeera kwa kweli Afrika bado kuna fursa kibao.
JIFUNZE KUTATUA MATATIZO PESA ZITAKUJA AUTOMATIC.
Wakati mwingine wasomi huwa tunajifariji tu. Nakumbuka kuna Mwalimu mmoja alikuwa anatufungia visiki kama vyako hivyo kuwa ana NGO uzuri course nilikuwa nachukua ilikuwa inaendana na hiyo miradi yake ikafika kipindi cha kwenda FIELD nikamwambia naomba nikapigie pale kwenye NGO yako akaanza mbwera mbwera. Ndipo nikajua Watz ni watu wa maneno na kurahisisha maneno tu
 
Mkuu hongera sana mm nina kadiploma kangu nimeishia hapohapo sitaki ujinga tangu nimesoma kitabu cha RICH DAD AND POOR DAD cha ROBERT KIYOSAKI nimeshangaa ulimwengu umebadilika kwa sasa nina NGO yangu ni mkulima,self taught programmer,nasaka madini,nina project ya kujenga nyumba kutumia container (on process) na pia nina business idea ya sunflower oil now nimashine ya kukamua mafuta naanda pesa ya kuvuta.
nilikuwa nacheki interview ya Aliko dangote na aljazeera kwa kweli Afrika bado kuna fursa kibao.
JIFUNZE KUTATUA MATATIZO PESA ZITAKUJA AUTOMATIC.

Ulianza na biashara gani na ulianza na mtaji wa kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gspain nimeitoa mifano Hiyo ya "ujasiriamali" according to the way its perceived na vijana wengi.

We nenda kwenye mojawapo ya zile semina zao, utaelewa Kwanini nimetoa hiyo mfano ya aina Hiyo.
Ok kama wanawashauri watu waache profession zao wanapotosha. Msingi wa ujasiriamali ni kuanalyze changamoto zilizopo na kujaribu kuainisha fursa zinazotokana na utatuzi wa changamoto husika.

Kwa hiyo kila mtu kwa profession yake bado anaweza kuibua fursa kwenye eneo lake la ueledi na akafanya ujasiriamali mfano, daktari anaweza akaona fursa kutokana na msongamano wa wagonjwa hospitalini akajiongeza kufungua dispensary kuhudumia ile overflow ya wagonjwa kwa muda wa ziada ama akaanzisha mobile clinic ya kuwapima wagonjwa na kuwapa ushauri wa kiafya popote walipo.

Si kwamba kwa kusema watu wafanye ujasiriamali tunamaanisha waache kazi/profession zao, ama watu waachane na kusoma..BIG NO, ujasiriamali at a certain level unahitaji wasomi kuliko kitu chochote ili ufanikiwe.

People should not feel guilty,not everyone can be an entrepreneuer/businessman. Watu wasome, wataoweza kuajiriwa na bado wakafanya ujasiriamali well done, watakao amua kujikita kwenye biashara baada ya elimu zao safi kabisa lakini watakao amua kuajiriwa sio dhambi pia.

Pia watu hawaelewi kuwa kuna tofauti ya kujiajiri na kufanya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena kusema, Ninyi vijana sijui wazee ambao kila siku mnawadanganya watu kuhusu kujiari Mungu anaona.

Ni kweli ajira imekuwa ngumu sana lkn ninyi wenye hiyo nafasi ya kutengeza ajira(mliyojiari) mngekuwa mnakuja hapa na kutangaza ajira mpya ili sisi ambao tunategemea kuajiriwa tuje kuwafanyia kazi. Yani sema kweli wote mnosema kuwa mmejiari inawezekana kabisa mnauza ata duka tu. Kitu ambacho ni cha kawaida sana

Binafsi mimi nauza dagaa ila kitaaluma ni mwalimu lkn mi siwezi kujisifia kuwa nimejiajiri kwa sababu nafanya vitu ambavyo n cha kawaida sana. Ninyi ambao mnasema mnatatua matatizo mbona hatujawahi waona hata kwenye vyombo vya habari. Tusiwe tunadanganya hapa JF.

Nakubali kuwa Africa fursa bado zipo nyingi sana lkn n kwa ambao tayari wana msingi CAPITAL. Angalia akina Mengi walianza kuajiriwa ndipo wakapata mtaji. Mtaji ni tatizo kwa vijana yani tusema yote lkn Capital n tatizo kwa vijana wengi. Imagine umesoma afu unafanya kazi ambayo ipo nje ya taaluma yako kisa upate mtaji tu. Tusiwabeze sana vijana ila ukijituma huo mtaji utaupata lkn pia umuamini Mungu

Mkuu hakuna anedanganya mtu hapa, kwa kazi unayoifanya ya kuuza dagaa umejiajiri wale usijipuuze. Kitu kimoja tambua kuna tofauti kati ya kujiajiri na kufanya biashara. Anza kufikiria kufanya biashara sasa.

Mtu aliyejiajiri huwa akitaka kuajiri atatafuta mtu anayemzidi kwa mambo mengi ili aweze kumcontrol ila anayefanya biashara principle inasema only employ people who are more inteligent than you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umomi mkuu nakuunga mkono. You spoke my mind kabisa.

Kuna upotoshaji mkubwa kwakweli. Tena kama huna taarifa sahihi kuhusu Hao watu wakubwa wakubwa mtu unaingia chaka hivi hivi.

Waliniambiaga Bezos alianzisha Amazon kwenye Garage what they didnt tell me ni kuwa jamaa tayari Kuna kipindi flani kabla hajaanzisha his venture aliajiriwa na alipewa mtaji mwingi na wazazi wake. Hiyo motivational speaker Hawasemi wanakwambia tu mtaji ni wewe mwenyewe 😂😂 Sijui uza simu ndo mtaji wako.

Hivi kweli mtu nasoma chuo alafu nauza simu taarifa za muhimu ntapata Wapi?

We have a long way to go.
 
Watu ni wengi sana .

Ulichosema ni sahihi , Wazazi wengi bado wameshikilia imani kubwa ya Soma mwanangu uajiriwe na serikali uwe na maisha mazuri.

Watoto wanaposoma, nakuishia kua Waalimu wa HKL ,hajira hamna, wengi wao huwa hawana tena Fikra Mpya kichwan.

Wazazi wawahimize wanao kusoma si kwaajili ya Kuajiriwa tu Bali kujiajiri ..nikweli nawazi hapa Duniani kazi za kuajiriwa zinakupa Mahitaji muhimu tu, lkn nyingi hazifanyi vijana wengi kua vile walivyopanga kua.

Na vijana vilevile waache kushikilia Akili zao , Akili ukiishikilia hautafanya kitu chochote.

Unakuta kijana anayepata Mkopo 80% , hata kufikiria nn afanye ambacho kinaweza zalisha hiyo pesa , hamna...yeye kichwan ni Nguo, mademu na Anasa...sababu anajua ukimaliza, anaajiriwa

Baadae wakirudi kitaani ,kulia hakuishi !!.
Umeongea fact mkuu ila mm naomba ushauri wako tufanye nn aswa sisi vijna maana hata mm nko chuo na boom napata mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umomi mkuu nakuunga mkono. You spoke my mind kabisa.

Kuna upotoshaji mkubwa kwakweli. Tena kama huna taarifa sahihi kuhusu Hao watu wakubwa wakubwa mtu unaingia chaka hivi hivi.

Waliniambiaga Bezos alianzisha Amazon kwenye Garage what they didnt tell me ni kuwa jamaa tayari Kuna kipindi flani kabla hajaanzisha his venture aliajiriwa na alipewa mtaji mwingi na wazazi wake. Hiyo motivational speaker Hawasemi wanakwambia tu mtaji ni wewe mwenyewe 😂😂 Sijui uza simu ndo mtaji wako.

Hivi kweli mtu nasoma chuo alafu nauza simu taarifa za muhimu ntapata Wapi?

We have a long way to go.
Mkuu nakuunga mkono na jamaa Umomi namuunganisha mkono, ila kuna kitu kinaitwa Ground/Ecosystem, unapotaka fanya kitu angalia Ground yako hali yako harisi JeffBezos maisha yalimfeva sana ila kwa mtu kama mimi nakubali suala la kuuza simu nifanye Mtaji kwa Ground yangu mimi maana hakuna atayekuja kukuokoa zaidi yakukuokoa, reality mimi sijapata ajira bado ila nikihitaji kihasi cha 100K tu nikisake mwenyewe nitakosaje kuuza simu yangu...hapa kwenye simu malanyingi watu wanashindwa kuelewa ukiwa unashida ya 100K nasimu yako unaweza kuuza kwa 170K unaweza kuuza iyo simu ukapa hichi kihasi cha 100K na iyo 70K ukapata simu Smartphone nzuri tu, hii simu nayotumia mimi mbona nimenunua 40,000/= tu So unapo make Excuse angalia haliyako kwanza na malengo.

Naamini kwa mtu anayetoka familia yachini kabisa hana pesa, channel, network nk ana stage kadhaa akimaliza chuo kwanza ni kutafuta kipato chochote kwa kujiajiri ili ajikimu mahitaji madogo na nauri za kusaka kazi au mishe nzuri kama hujafanya hivyo unaweza juta sasa hiyo sehemu yakupata bukumbilimbili utapataje bila kuuza hata simu yako.

Hii hoja naikubali 100℅ kutegemea na hali yako kwa wakati huwo Jeffbezos yeye kazaliwa tu tiali millionaire.
 
Umomi mkuu nakuunga mkono. You spoke my mind kabisa.

Kuna upotoshaji mkubwa kwakweli. Tena kama huna taarifa sahihi kuhusu Hao watu wakubwa wakubwa mtu unaingia chaka hivi hivi.

Waliniambiaga Bezos alianzisha Amazon kwenye Garage what they didnt tell me ni kuwa jamaa tayari Kuna kipindi flani kabla hajaanzisha his venture aliajiriwa na alipewa mtaji mwingi na wazazi wake. Hiyo motivational speaker Hawasemi wanakwambia tu mtaji ni wewe mwenyewe Sijui uza simu ndo mtaji wako.

Hivi kweli mtu nasoma chuo alafu nauza simu taarifa za muhimu ntapata Wapi?

We have a long way to go.
Ila Mungu anawaona hao watu wanaopotosha mkuu! Mtaji ndio tatizo kwa Vijana, vijana wengi wanatamani wachape kaz lkn shida n mtaji mkuu. Ukisema mtaji n wewe mwenyewe utafanya yale mambo ambayo yanafanywa na mtu wa Darasa la 7. Tutumie elimu zetu vzr bana siyo kukaa na kudanganyana hapa.

Taifa lolote hapa duniani n wajibu wa serikali kuboresha mazingira ya ajira. Vijana wenyewe wachague kama ni kuajiriwa au kijiajiri lkn hapa kwetu Tanzania mnalazimisha kila kijana msomi et aende kujiajiri sasa mnasomesha wa kazi gani? Na hiyo mikopo ya HESLB mnatupa ya kazi gani wakati hakuna ajiri? Mi kweli huwa nachukia sana situation iliyopo saivi kuhusiana na ajira

Na ndo maana hawa watu wanakuja humu kusema jikite katika kutatua matatizo. Wanakusanya vijana wa watu wanawadanganya afu wanawatoza labda 5000 kila kijana kwa kuwalisha upumbavu. Niwambie ukweli huo nao ni utapeli ninyi mmechukulia ukosefu wa ajira kama tatizo na kuwaibia watanzania kwa kuwapa seminar za kujiajiri. Wapeni mitaji afu watupe ajira kwenye NGO zao hizo
 
hapa kwenye simu malanyingi watu wanashindwa kuelewa ukiwa unashida ya 100K nasimu yako unaweza kuuza kwa 170K unaweza kuuza iyo simu ukapa hichi kihasi cha 100K na iyo 70K ukapata simu Smartphone nzuri tu, hii simu nayotumia mimi mbona nimenunua 40,000/= tu.

Kaka kuuza cm siyo kutatua tatzo. Fikiria umeuza hiyo sim yako afu unaenda kulipia stationery ili utume maombe ya kazi. Kaka nakushauri usije ukauza sim ili upate pesa kwa mtoto wa Masikini ukipata cm n kama umepata Computer.

Nijitolee mimi mfano nilienda chuoni nikasema nataka nibane matumizi nikanunua cm nzuri tu afu nilicho kifanya kazi zote za assignment na madudu mengine nikawa nafanyia kwenye cm hivy nilikuwa naokoa sana zile gharama za stationery na wakati mwingine nikawa natype kaz za watu na za group kwa hela.

Kaka usije kudanganywa motivational speaker kuwa uza kuku ufuge kuku. Cm n kifaa mhimu sana katika maisha yako hasa smartphone

Wewe jamaa hivi unajibu alafu unasoma au unasoma alafu unaaandika.

NB:HEBU SOMA HOJA ALIZOANDIKA MTU BANA.

hemu mtu msadie kumjibu uyu jamaa nimeshindwa mie.
 
Wewe jamaa hivi unajibu alafu unasoma au unasoma alafu unaaandika.

NB:HEBU SOMA HOJA ALIZOANDIKA MTU BANA.

hemu mtu msadie kumjibu uyu jamaa nimeshindwa mie.
Nimesoma hoja yako ndo maana nmeijibu ila nlivyoendelea ndipo nikatoka nje ya hoja yako mkuu
 
Nimesoma hoja yako ndo maana nmeijibu ila nlivyoendelea ndipo nikatoka nje ya hoja yako mkuu
Kwahiyo wewe unajiandikiaandikia tu mtu anaandika hoja strictly Usomi kwa ulichojibu hapo juu kimenikatisha tamaa kwamba usoma kilichoandikwa...unaniambia simu muhimu kama Computer sijui ulisoma nilochoandika kweli.
 
Yeah nmesoma
 
Hiki ndio wengi hawakiongelei. Kuna ajira zina mishahara na bonus kubwa balaa.

Ila na ukubwa wa mishahara+bonus lkn maisha yao baada ya ajira hua siyaelewi,boss mstaafu wa Tbc baada Tido kwa sasa ndio mwenyekiti wetu wa mtaa na wakubwa wengine kibao hali zao ni mdogo mdogo.
 
Umomi mkuu nakuunga mkono. You spoke my mind kabisa.

Kuna upotoshaji mkubwa kwakweli. Tena kama huna taarifa sahihi kuhusu Hao watu wakubwa wakubwa mtu unaingia chaka hivi hivi.

Waliniambiaga Bezos alianzisha Amazon kwenye Garage what they didnt tell me ni kuwa jamaa tayari Kuna kipindi flani kabla hajaanzisha his venture aliajiriwa na alipewa mtaji mwingi na wazazi wake. Hiyo motivational speaker Hawasemi wanakwambia tu mtaji ni wewe mwenyewe Sijui uza simu ndo mtaji wako.

Hivi kweli mtu nasoma chuo alafu nauza simu taarifa za muhimu ntapata Wapi?

We have a long way to go.
Mimi kwa kweli nachoona ajira sio mbaya.

Ila ibaya ni mtu ambaye hana ajira akasubiri na kutafuta ajira huku hataki kuajiriwa.

Hapo ndo dhana ya kujiajiri inakuja kuwa muhimu kuliko kukaa tupu kusubiri ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma hoja yako ndo maana nmeijibu ila nlivyoendelea ndipo nikatoka nje ya hoja yako mkuu
Hujamsoma jamaa vizuri mkuu.

Soma alafu elewa alichokusudia sio unasoma alafu unamjibu tu bila kumuelewa.

Nakiri kuwa hujamuelewa na hoja zako dhaifu mno zaidi udhaifu wa kirusi cha corona kwenye joto kali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha napata point yako ila sio entrepreneurship hiyo, wanasema mfundishe mtu kuvua samaki sio kumpa samaki, kama wanataka ideas kuna thread moja humu mtua alipost idea zaidi ya 10 ambazo nyingi ukifanyia kazi unatengeneza mamilioni, in short kuna idea moja alitaja ambayo hata mimi nilikua nshaanza kuifanyia kazi.

Kua entrepreneur mzuri solution ni moja tu, angalia tatizo ambalo lipo kwenye mazingira yako, tafuta solution yake na solution iwe ambayo watu wanaweza kulipia, alafu solve hilo tatizo watu wakupe hela. Kila biashara ndivyo ilivyo.

Sasa bongo matatizo mbona yamejaa mno? Na kama mtu hana capital akianza kuimplement idea hata kwa hela kidogo anaweza fika sehemu akaomba investment makampuni yapo mengi yanatafuta watu wanaojaribu kitu kipya wainvest, hata mimi mwenyewe ukija na kitu kipya na kinaweza tengeneza hela kweli umeanza kuexecute vizuri investment naweza toa mapema kabisa, just don’t come with an idea, njoo ukiwa umeishaanza kuexecute, napenda sana execution kuliko maneno tu.

Na nishapata jengo kubwa soon nitafungua incubator Dar es salaam ya technology kuleta startup companies mbalimbali bongo nawapa ofisi bure kabisa wakae waimplement wanachotaka, nawapa na msaada wa marketing kwenye sns, mabango ya barabarani ikihitajika au technical experties maana nina miaka zaidi ya 10 kwenye utengenezaji wa software.

Naomba vijana wa kitanzania muamke, acheni lawama, acheni excuses, hakuna mtu atakaa awasikilize, amka anza kupiga kazi, huna direction kaa uliza watu, kaa tafuta connection, tafuta like minded people, kila mtu ana strength zake na weakness zake, tafuta mtu opposite na wewe anayeweza kukupa nguvu aple ambapo una mapungufu, entrepreneurship una challenge zake kibao ila trust me ukihit ni biashara moja tu unachomoka kabisa unasahau umasikini.
Mkuu Graph

Ile biashara yako ya kuuza maharage kule Gairo uliishia wapi ?

Vipi kuhusu wale wanachuo wenzako mliofilisika Kule ifakara wapo wapi ?

Nauliza tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom