Mfungo na kupanda kwa bei za vyakula!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfungo na kupanda kwa bei za vyakula!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Aug 3, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wana Jf naombeni ufafanuzi hii imekuwa inanichanganya sana, mimi nilikuwa naamini kwamba wenzetu Waislamu watakapoanza Mfungo itapelekea demand yaani mahitaji ya vyakula masokoni kupungua sana hivyo vyakula vitakosa masoko na vitashuka sana bei, lakini cha ajabu mfungo umeanza na vyakula masokoni vimepanda bei kwasababu vinahitajika sana kipindi hiki cha mfungo, sasa najiuliza inakuweje kipindi ambacho watu wamefunga kula ndo chakula kinahitajika zaidi?
   
 2. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii hata mimi nimeishuhudia sana, ila baada ya utafiti nikagundua kwamba kipindi cha mfungo watu wengu ndo wanakula zaidi maana wanachokifanya wanabadirisha ratiba toka asubuhi hawali wanakula jioni sana "kufuturu" ambayo mtu anaweza akala kiasi cha kuvimbiwa na anadamka mida mibaya kupiga tena msosi kwa hiyo anakuwa amekula mara mbili ileile isipokuwa katika hizo marambili anasindilia ipasavyo.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Waislamu huwa hawafungi wale, ila wanabadili ratiba ya kula chakula tu. Mimi kuna jirani yangu hapa huwa halali usiku, ni kupiga msosi kwa kwenda mbele tu.
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Unataka kusema kwamba neno "Kufuturu" linamaanisha "Kuvimbiwa?"
   
 5. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mimi nina mtazamo kama huo, haiwezekani watu wakiwa wanakula kama kawaida hakuna shortage ya vyakula lakini wakifunga ndo magunia ya vyakula yanatokomea masokoni
   
Loading...