Mfungo Mwema Wapendwa...................... .....

Astaghafullilah ndg Asprin!

Funga ni kila kitu mpaka tendo la ndoa,ila tendo hlo ni halali na ruksa kwa mkeo/mumeo ambaye umefunga nae ndoa.

Na si halali wala huruhusiwi kufanya tendo hlo kwa mwanamke/mwanaume ambaye hujafunga nae ndoa,
Maana saumu yako Haitahesabiwa kwa Allah.
Na tunasema ni Batili.

Aseeee sikulijua hilo.... Asprin kuja fasta twende kwa shekhe atufungishe ndoa ya mkeka ili saumu yetu isiwe batili na ihesabiwe
 
Last edited by a moderator:
Afazali asee... zile hela za ofa za biya na mishakiki kwa mabaamedi wangu wapenzi Ashura na Fatuma zitarudi kwa mai waifu wangu.

Mfungo Hoyeeeeee!!!!

Yupi???? Aafu we jaribu kuwapa ofa Fatuma na Ashura uone kama watakataa
 
Tufunge mara ngapi???

Hivyo eh? Ngastuka. Cha msingi ni kuwapotezea na kuhamishia shughuli kwa Eliza.

Hapo kwenye blue nahitaji muongozo....... Bishanga njoo mwaya unaibiwa E wa T huku
 
Last edited by a moderator:
Tufunge mara ngapi???

Hivyo eh? Ngastuka. Cha msingi ni kuwapotezea na kuhamishia shughuli kwa Eliza.

Hapo kwenye blue nahitaji muongozo....... Bishanga njoo mwaya unaibiwa E wa T huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom