Mfungo Mwema Wapendwa...................... .....

Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?

Astaghafullilah ndg Asprin!

Funga ni kila kitu mpaka tendo la ndoa,ila tendo hlo ni halali na ruksa kwa mkeo/mumeo ambaye umefunga nae ndoa.

Na si halali wala huruhusiwi kufanya tendo hlo kwa mwanamke/mwanaume ambaye hujafunga nae ndoa,
Maana saumu yako Haitahesabiwa kwa Allah.
Na tunasema ni Batili.
 
Last edited by a moderator:
huu mwezi huwa najinenepeaje? mialiko ya kufuturu kila kona ya nchi...
ikulu wanafuturisha lini jamani?
 
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?

hubby hutaki kufunga biya wewe?
ila jua inabidi ufunge ukaguzi.....

Babu Asprin Bwana..............................................
Mfungo mwema.

Astaghafullilah ndg Asprin!

Funga ni kila kitu mpaka tendo la ndoa,ila tendo hlo ni halali na ruksa kwa mkeo/mumeo ambaye umefunga nae ndoa.

Na si halali wala huruhusiwi kufanya tendo hlo kwa mwanamke/mwanaume ambaye hujafunga nae ndoa,
Maana saumu yako Haitahesabiwa kwa Allah.
Na tunasema ni Batili.
Afazali asee... zile hela za ofa za biya na mishakiki kwa mabaamedi wangu wapenzi Ashura na Fatuma zitarudi kwa mai waifu wangu.

Mfungo Hoyeeeeee!!!!
 
Afadhali jamani.
Maana hali mbaya.
Ila huwa najiulizaga mda mrefu,
Ina mana sisi Waislamu ndo tunapenda anasa au?
Maana mfungo ukianza tu,we kafanye research kwenye
Kumbi za burudani,
ma-Bar,
kwenye Matamasha na hata Mahotelini
Huwa kunakuwa kumedoda,yani hakuna watu kbs.

Ndio kusema,Waislamu twapenda sana starehe?

Au Viota vingi vya Burudani vinamilikiwa na Waislamu?

Au waume tunaowategemea kutuweka mjini hawana nafasi na sie nyumba ndogo?

MWENYE UPEO,ANIJUZE.
 
....hahahahaha...ikulu inabidi tuongee na Riz1
hebu muulize mimi sina contact nae ..nataka nijue ikulu wanafuturisha lini kwanza?then bunge? na mawizara..hadi mfungo uishe sijui ..kweli kodi za wananchi zina shughuli..
 
002-ramadan-karim.jpg

Na wewe pia mkuu.

Wapendwa wanaJF wenzetu.

Napenda kufikisha salamu za upendo na kheri kwenu wote mnaotarajia kufunga kwa mwezi mtukufu.

Tunawatakia Mfungo Mwema kwenu na familia zenu.
 
Afazali asee... zile hela za ofa za biya na mishakiki kwa mabaamedi wangu wapenzi Ashura na Fatuma zitarudi kwa mai waifu wangu.
Mfungo Hoyeeeeee!!!!
Tunavunja wapi Jungu Komredi? au pale pale kama dawa kama kawa!
Sasa na serikali iliovyoongea kodi kwenye bia sijui watakusanya nini mwezi huu!
 
Hivi kufunga tunafunga kula tu au hata na biya?

hubby hutaki kufunga biya wewe?
ila jua inabidi ufunge ukaguzi.....

Babu Asprin Bwana..............................................
Mfungo mwema.

Astaghafullilah ndg Asprin!

Funga ni kila kitu mpaka tendo la ndoa,ila tendo hlo ni halali na ruksa kwa mkeo/mumeo ambaye umefunga nae ndoa.

Na si halali wala huruhusiwi kufanya tendo hlo kwa mwanamke/mwanaume ambaye hujafunga nae ndoa,
Maana saumu yako Haitahesabiwa kwa Allah.
Na tunasema ni Batili.

Kiongozi bia marufuku ! Viroba kula ruksa!

eeeeh na BIYA....

Swali moja majibu kibao...... Ila huyu mtukufu Kimey hapa chini ndo amenena la neno la hekima. Hommie usijali, serikali inafikiri ikiongeza kodi ya BIYA tutaacha kunywa..... Wangejua tumepunguza bajeti ya nyumbani.... Watoto watapata kwashakoo kwa hisani ya BIYA.

Tunavunja wapi Jungu Komredi? au pale pale kama dawa kama kawa!
Sasa na serikali iliovyoongea kodi kwenye bia sijui watakusanya nini mwezi huu!
 
Last edited by a moderator:
Swali moja majibu kibao...... Ila huyu mtukufu Kimey hapa chini ndo amenena la neno la hekima. Hommie usijali, serikali inafikiri ikiongeza kodi ya BIYA tutaacha kunywa..... Wangejua tumepunguza bajeti ya nyumbani.... Watoto watapata kwashakoo kwa hisani ya BIYA.
Serikali inafikiri inatukomoa sisi kumbe inakomoa watoto malaika wa Mungu! Ishindwe kabisa serikali kutesa watoto. Hommie hebu na wewe kemea
 
Back
Top Bottom