Mfungo mtukufu na kufungulia radio kwa sauti ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfungo mtukufu na kufungulia radio kwa sauti ya juu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Sep 8, 2008.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huu ni mwezi mtukufu kwa waumini wa dini ya Kiislamu. Mimi na mmoja wa wapenda dini. Dini ni njia ya kumcha Mungu au kumcha unayemwamini. Mimi ni mkazi wa Manzese Uzuri. Sifa mojawapo ya eneo hili ni msongamano wa nyumba ka utitiri wa sisimizi. Mlango wa nyumba yako unatazamana na wa jirani, si ajabu hata milango ya vyoo vinaangaliana.

  Kero ninayoipata ni ndugu zetu hawa wakati huu wa mfungo kuweka mikanda ya dini yao na kufungulia redio kwa sauti ya juu hasa wakati wa jioni. Inakuwa ni kero kwetu kwani sisi wengine inabidi tuzime viredio vyetu vya mkulima tusikilize mikanda yao ambayo wakati mwingine tunashindwa kuielewa. Kwani hatuna mafundisho ya dini hiyo.

  Ninajiuliza nifanye nini? Au nikae kimya nisubiri fadhila kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mhache,

  Usikae kimiya chukua hatua.

  Kwa msaada wa haraka wenye mafanikio ya haraka bonyeza hapa chini

  http://www.mwakasege.org
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Sep 8, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Pole ndugu yangu kwa madhira yanayo kukuta kutoka kwa hao jirani zako. Usiwe mnyonge ndugu yangu, chukuwa hatua za kiistaarabu, nenda kwa jirani yako anayekusumbuwa na mfahamishe kuwa anacho kisikiliza ni kitu kizuri sana kwa imani yake, ila anapaswa kuzingatia kuwa kuna majirani wanakerekwa na huo usikilizaji wake wa sauti kubwa. Na anacho kifanya ni Ithrafu na anapata dhambi kwani Uislam hautaki kuwaudhi majirani na yeye anakuudhi wewe uliye jirani yake mwema.

  Uislam unasisitiza sana kuwafanyia wema wazazi wawili, kuunga undugu, kuwafanyia wema jirani, kumsaidia anayehitaji, kulea yatima, kuwa na moyo msafi usio na husda, wala chuki, kuwa na tabia njema, na mengi mengineyo yote yaliyo mema.

  Sasa huyo jirani yako anaonyesha kasahau hayo, nawe ukiwa ni mmoja wa majirani zake ni jukumu lako kumkumbusha, kwani utulivu ni moja ya haki zako za msingi. Usikubali mtu wa imani yeyote haichukuwe haki yako.
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Really.................?
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wooooooooo....hoooooooooooooo
   
 8. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Duuh! Ama kweli Unyani unataka moyo! ... sasa mlio kama huu wa Kinyaninyani unamaanisha nini? Au ndiyo yale mambo ya "Its a Nyani thang, you won't understand"? :D
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nah...it'a about Monkey see..Monkey do.....get it now?
   
 10. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Oh really?
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Now JF is NOT the same..Sasa nime-verify kuwa JF imevamiwa..
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  oh yeah............
   
 13. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  How about saying that in Nyani-speak..
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  ....what's hatn'n?
   
 15. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Parting shot..have a nice day :D

  [​IMG]
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ok pops, you do the same....
   
 17. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Oh really? :D
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  u already know.....
   
 19. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Oh really? :D
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Sep 8, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  ...u already know...another day another dollar....gotta stack that paper...u already know..stacks on deck....
   
Loading...